the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza.
Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, na itakuwa meli kubwa zaidi katika Ukanda wa Maziwa Makuu.
📸 @MSCLtz https://t.co/trZ3JdWbLR
Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?
Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro.
Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo.
Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
Utalii wowote ambao unahusisha kuhamisha wanyama wetu kutokoka Tanzania kwenda nchi nyingine yoyote tuukatae wote bila kujali kabila, dini, jinsia wala elimu ya mtu. hata tukipewa bei gani. Hakuna nchi ambayo haijawahi kuwa na wanyama wake lakini tabia na maendeleo yao ndiyo yaliyosababisha...
Imeandikwa na @maulidkitenge -
@oscaroscarjr ni moja ya wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7. Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote aliyofanya kwenye kipindi hicho. Tunamtakia kila lenye kheri kwenye majukumu yake mapya.
Chanzo: Dar...
Hali imekuwa si shwari baada ya Selina kumkimbia mume wake waliyedumu nae kwenye ndoa miaka 10. Mr Rogers alikuwa ni mfanyabiashara hapo Kariakoo kisha kumuachia mke wake duka aendelee kulisimamia na yeye kuanza kusafiri mikoani kununua mazao kuyaleta Dar es salaam.
Basi Mungu aliwajalia hela...
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.
Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.
Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
Uwe unampenda au humpendi utakubaliana na mimi kwamba Mh Tundu Lissu ni tunu ta taifa. Sitaki kurudia mambo mengi yaliyopita lakini kwa ufupi ni kuwa yale yoote aliyotuonya wana wa tanzania kuhusu utawala bora na sheria sote tumeshuhudia athari zake. Athari kwa watanzania wote, wenye vyama na...
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye.
1. Ana akili
2. Ana rangi nzuri
3. Ana sura nzuri
4. Ana body nzuri
5. Anajiheshimu
Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi kulingana na sifa.
Unakuta dada mzuri ila hana akili. So huyu nakuwa naye kipindi kile nahitaji tu...
Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba.
Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Dodoma.
Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba, zote, zilianzishwa...
Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi...
Habari za ndani kabisa zinasema:
1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa
2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.
Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba.
Hakuna kitu...
Yule jamaa aliyetuletea stori yake ya kumtafuna lecturer wake kanizidishia ujasiri kwa sasa kila demu naona nammudu hata awe amenizidi kipato namna gani wademu wa hovyo wote napiga chini natafuna watoto wa kishua
Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi.
Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno
1. Unataka kufanyia nini?
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.