Wanaume, mpo? Nawauliza kwa upole kabisa, lakini kwa uzito wa moyo: Hivi nyie mnaokasirika kasirika hapa JF, mnaishije na wake zenu majumbani?
Naongea na wewe mwanaume, ambaye kila unapoandika mada, unapojibu maswali, unapochangia hoja, maneno yako hayakosi ukali, kejeli, hasira na wakati...