wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe wasaliti ambao "NJAA" zao zilibadiri misimamo yao baada ya kupata "ulaji" wakati wa 2015-2020

    Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF. 1. Polepole 2. Kabudi 3. Nasari 4. Kafulila
  2. L

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
  4. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

    Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia. NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  6. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mechi tano za Yanga zilizopita wakati Djigui Diarra akiwa langoni

  7. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Natoa hoja: Ifike wakati soka la wanawake kitaifa lipewe kipaumbele kuliko la wanaume

    Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake. Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
  8. Guapo_v

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sahihi kwa watoto wa kiume kupewa Elimu ya Jinsia?

    Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa. Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kususia taarifa zote kutoka kwa Waziri wa Nishati January Makamba

    Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema Hoooo! Mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati, hivyo imechoka kabisa, nahitaji mnipe siku kumi zikarabatiwe! Kutoka...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

    Anaandika, Robert Heriel Maisha ni mchezo wa maswali na majibu. Kikawaida swali ndio linatangulia ndipo jibu lifuate. Lakini kwenye maisha majibu huweza kutangulia alafu maswali ndio yafuate. Hayo ni maisha. Yapo majibu yasiyo na maswali. Lakini hakuna swali lisilo na jibu. Vijana bado...
  11. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Mhe. Ismail Aden Rage kuwaomba mashabiki wa Simba msamaha

    Kwa heshima na taadhima naomba huyu Mheshimiwa ajitokeze hadharani kuwaomba mashabiki msamaha kwa kuwaita mbumbumbu wakati alipokuwa kiongozi mkubwa tu wa Simba Sports Club. Ni vizuri akalifanya jambo hili wakati bado akiwa hai. Hata kama alighadhabika kiasi gani, bado hakutakiwa kuwaita...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini viongozi wa Yanga SC wanapenda kusema wameonewa wakati madhaifu ni yao na ushamba wao?

    Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wenyeviti na makatibu s/m kuongezewa majukumu

    Kutokana na makosa mengi yaliyotokea au yaliyofanywa na makarani wa sensa juu ya uhesabuji hasa vyumba katika majumba ya watu, maana katika majumba mengi huku mitaani waweza kuta nyumba ina vyumba pengine kumi lakini vingine ni stoo, vyumba vya walinzi, vyumba vya madawa ya mifugo na pengine...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
  16. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati Tafadhali wandugu kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
  17. IgKim

    JamiiForums Tanzania Damu wakati wa mimba

    Naomba wataalamu watuambie ni vyakula gani mwanamke anaweza kula akaongeza damu haraka wakati wa ujauzito au ni dawa gani zinazoweza kumfaa kuongeza kiwango cha damu naomba jibu wataalamu.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

    Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie. Wameshatafuna...
  19. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mkoa wa Mara hawatoi taarifa za matukio mengi kwa wakati! Sababu ni nini?

    Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa. Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari kata ya masaba, wolaya ya Butiama ila hadi leo hakuna taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...
  20. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ulipata funzo gani wakati wa COVID-19 Kama mwajiriwa?

    Katika lile tukio lililoshtua ulimwengu, katika tasnia ya ajira tuliona wengi kupunguzwa makazini. Binafsi nilijifunza kuchapa kazi mno Kuna tija mno maana kusimamishwa inamaanisha Kuna watu wanaweza fanya ata wewe usipokuwepo kuhusu saving hapo nilijifunza ni Jambo la msingi mno. Karibu...
Back
Top Bottom