wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila fursa nikijaribu Wazazi wanasema sio hadhi yangu, sasa nipo nyumbani nafokewa kuwa sitafuti kazi

    Habarini wanaJF, Natumaini ni wazima wote Kwenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu mwezi wa saba. Kiukweli napata changamoto kwa wazazi wangu kwa sababu kila fursa nikijaribu kufanya wananiambia hio sio hadhi yangu(fursa za halali). Lakini cha kushangaza mimi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasubiri ni afisa habari gani wa Yanga atachaguliwa na Manara tuwe na subira

    Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

    Huyu ndio kiongozi anayejitambua 👇 With my wife Mutinta, we’ve arrived in New York for 77th Session of #UNGA   . While here, we will illustrate how #Zambia is determined to be an economic centre whose central focus is creating meaningful jobs & business opportunities for all. Thanks for your...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  5. JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  6. JamiiForums Tanzania Ni nani anatakiwa kuwa na VFD/EFD?

    Karibu sana, kwanza kabisa Utaratibu wa kutumia Mashine za VFD/EFD ulianzishwa kwa lengo la kumrahisishia mfanyabiashara katika utunzaji wa kumbukumbu za mauzo/biashara za kila siku ili kuondoa usumbufu wakati wa ukadiriaji wa kodi (usikadiliwe kodi kubwa kuliko biashara yako au usikadiliwe...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  8. JamiiForums Tanzania Ifike wakati vyuo vikuu viwanyang'anye awards watu wanao aibisha taaluma zao

    Wasalaam wana JF Katika kipindi cha miaka takribani 10 hivi tumeona wimbi la wasomi waki behave na ku-perform kwa namna inayoaibisha taaluma zao, kushusha thamani na integrity ya awards za taaluma walizopata na kuvitia aibu vyuo walivyosoma. Mifano ni mingi sana ila kwa uchache, wapo ma Prof...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuendelea na ukataji tozo bila muafaka ni dharau kwa wananchi

    Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki. Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya. Kwamba haya yakiendelea ninyi mnakata tozo kama vile hamna akili nzuri? Hii ni dharau kiasi gani kwetu? Au hadi mkutane nasi...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu za kupata ujauzito wakati unatumia uzazi wa mpango

    Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia. Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe wasaliti ambao "NJAA" zao zilibadiri misimamo yao baada ya kupata "ulaji" wakati wa 2015-2020

    Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF. 1. Polepole 2. Kabudi 3. Nasari 4. Kafulila
  13. L

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu asiyekufa? Kwanini tusikitike wakati kifo ni lazima na ibada?

    samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
  15. JamiiForums Tanzania Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

    Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia. NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  17. JamiiForums Tanzania Mechi tano za Yanga zilizopita wakati Djigui Diarra akiwa langoni

  18. JamiiForums Tanzania Natoa hoja: Ifike wakati soka la wanawake kitaifa lipewe kipaumbele kuliko la wanaume

    Pamoja na kwamba soka ni ajira, soka pia ni kielelezo cha taifa. Soka huitangaza nchi yoyote iwayo; kuiheshimisha na kuiaibisha. Kwa muda mrefu sasa, timu zetu za taifa za soka za wanaume zimekuwa hazifanyi vyema ukilinganisha na zile za wanawake. Timu zetu za soka za wanawake zimekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sahihi kwa watoto wa kiume kupewa Elimu ya Jinsia?

    Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa. Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kususia taarifa zote kutoka kwa Waziri wa Nishati January Makamba

    Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema Hoooo! Mitambo ilikuwa haifanyiwi ukarabati, hivyo imechoka kabisa, nahitaji mnipe siku kumi zikarabatiwe! Kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…