VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku.
Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI?
Anaandika, Robert Heriel
Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine walioachiwa na majeshi ya Urusi kupitia SWAP ya mateka wa kivita wa pande zote mbili.
===============...
Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko.
Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...
Urevuka!
Yaani ni aibu sana unafanya matukio, unafanya ujinga mtaani na kwa jamii kisha kutoka nje unaona aibu. Ni upuuzi Sana.
Jamaniee wakati fulani unafanya upuuzi then unaogopa kutembea mchana pale unapohisi wanajamii wanakuona mjinga.
Unapigana kwa sababu zako, unaona aibu ya nini?
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi:
1. Endometriosis.
2. Uterine fibroids.
3. Adenomyosis.
4. Pelvic inflammatory disease.
5. Cervical stenosis.
(Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada)
Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo.
Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme?
Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
#BIASHARA Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli katika mwezi Desemba 2022 kwa mkoa wa Dar es Salaam, imepungua kwa shilingi 59 kwa lita ambapo petroli itauzwa shilingi 2,827 kwa lita, na bei ya dizeli pia imepungua na itauzwa kwa shilingi 3,247 kwa lita.
Bei hizi zitaanza kutumika kesho Desemba...
Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana.
Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha.
Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza..
Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza wahalifu wa mitandao ya simu maarufu kama 'Tuma kwa namba hii' wanavyosajili laini kinyemela kwa kutumia vitambulisho na alama za vidole vya watu, bila wahusika kugundua.
Imesema uhalifu huo hufanywa na mawakala wanaosajili laini za simu mteja...
Salaam Wakuu,
Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.
Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili...
Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao?
Taifa International Online School kwa...
Habari!
Neno mjinga halina uhusiano na matusi. Ni mtu asiyejua kitu kuhusu jambo husika.
Kwahiyo kwakuwa Watanzania wengi hawajui yanayoendelea katika nchi yao kutokana na kukosekana kwa uwazi ndani ya shughuli za kiserikali basi ni vyema tutumie msamiati huu wa WAJINGA.
Walipopiga hesabu na...
Ni Mwaka 1982, siku ya tatu iliwakutanisha Algeria na West German ambao walijua wanakwenda kutimiza wajibu.
"We will Dedicate our Seventh Goal to our wives and the eighth to our dogs."
Game ikachezwa na German wakapigwa 2-1 mechi ya kwanza.
Ingawa Algeria alifungwa mechi ya pili na Austria...
FAIDA ZA KUPAKA MAFUTA NYAYONI WAKATI WA KULALA USIKU
1. Mwanamke mmoja anasema babu yake aliishi miaka 87 bila ya kuumwa na mgongo, viungo, kichwa, meno wala mwili baada ya kufunzwa siri na mzee mmoja wa Kolkata alipokuwa anafanya kazi ya kuweka mawe juu ya reli akamuambia apake mafuta nyayoni...
Unafika mahari unakutana na pisi matata, kabla hata hujachukua namba inapita nyingine ambayo unaona ndo pisi kali zaidi! Mpaka unakuja kufanya maamuzi uchukue namba ya pisi ipi muda ushaenda na hujafanikiwa kupata namba ya hata mmoja.
"Mungu tupe macho tuone" by Christina Shusho.
Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea?
Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.