wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  2. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya muziki kua faster wakati wa Usiku

    Muziki, Muvi na series zikifutwa duniani sijui maisha yatakuaje upande wangu maana Muvi na Muzi ni vitu navyovipenda as entertainment for me...napenda sana kusikiliza muziki sidhani kama kuna siku inapita sijasikiliza muziki. Hua napenda nikilala muziki wa slow jams, flashback,afropop nyimbo za...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Sera ya CHAUMA ya ubwabwa wa bure wakati wake ndio huu

    Bwana Hashim Rungwe yeye hana makubwa. Sera za chama chake ni ubwabwa tu. Wakati huu mchele unapopanda bei n kutoshikika, wakati wa ubwabwa ndio huu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati

    Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa. Awali kulikuwa na tatizo la utapiamlo na sasa nikinyume chake na watu kunenepa kupita kiasi. Ingawa hakuna vyakula vya...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

    48 LAWS OF POWER. Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari. Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu. Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu. Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bibi kizee anyofolewa masikio na mtoto wake wa kumzaa wakati akiwa amelala

    Mkazi wa Kitongoji cha Kalilangwa Kijiji cha Mchangani Kata ya Ikola, Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi Winfrida Athanas (63) amenyofolewa masikio yote na mtoto wake wa kumzaa mwenyewe baada ya kumvizia wakati akiwa amelala usingizi chumbani mwake. Tukio hilo la kusikitisha...
  7. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Wakati wa waliopewa dhamana ya kutatua changamoto za watu kulalamika imekwisha

    Mambo yameanza kunoga. Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo ametoa onto Kwa viongozi wote Waliopewa Dhamana za Kutatu a Changamoto za Watu kuacha kulalamika Bali wachukue hatua. Bila shaka tuendako kutanoga zaidi.👇 ======== "Hatupo kwenye wakati wa kusubiri malalamiko ya watu waliopewa dhamana...
  8. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Inashauriwa kutochanganya Maziwa na Ndizi au Mayai na Kitimoto wakati wa kula

    Wataalamu wa Lishe wanashauri kutokula Mayai na Kitimoto kwa pamoja kutokana na kuwa na wingi wa Virutubisho vya Protini ambavyo husababisha Tumbo kutumia muda mrefu kumeng'enya Chakula. Inapendekezwa kula Mayai kwanza na Nyama ifuate angalau baada ya nusu saa. Matumizi ya Matunda yenye Asidi...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Vituko vya jikoni, ushawahi fanya kitu gani wakati unapika?

    Mko poa? Salaam, Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya. Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji wakati wa Ujauzito

    Ninywe Maji Kiasi Gani Kila Siku Wakati wa Ujauzito? Uhitaji wa maji wakati wa ujauzito ni mkubwa zaidi ili kuhakikisha mfumo wa mwili unaosimamia maisha ya viumbe wawili unafanya kazi vizuri. Ijapokuwa utofauti upo wa kiasi gani cha maji unywe kwa siku kutokana na sababu mbalimbali kama aina na...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Serikali ibane matumizi wakati huu wa dharura

    Amani iwe Kwenu Benki kuu (BOT) imeshatoa takwimu kuonesha mfumuko wa bei umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 1 ndani ya miezi michache. Sasa mfumuko unafikia asilimia 4 na ushei. Dunia nzima sasa inaputia wakati mgumu kiuchumi hususan kipindi hiki cha mtanange wa kule Ukraine. Kwa serikali...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

    Huu ni muujiza naweza kusema hivyo Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26 Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

    Katika nchi hii, Muhimili wa Power upo katika makundi makubwa mawili. (a) Wakiristo wa Tanganyika (b) Waislamu wa Zanzibar. Haya Makundi ndiyo makundi makuu yenye mamlaka za kisiasa hapa nchini. Hali hii inawaathiri sana Waislamu wa Tanganyika, nitaeleza. a) Kutokana na kwamba kule Zanzibar...
  15. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kitendo cha Mwanamke kujisaidia wakati wa Kujifungua ni ishara kuwa alishiriki ngono kinyume cha Maumbile

    Mdau wa JamiiForums anaomba kufahamu kama kitendo cha mwanamke kujisaia wakati wa kujifungua huhusishwa na kushiriki tendo la ndoa kinyume cha maumbile. Ameuliza swali hii baada ya kuwepo wa sintohamu kubwa miongoni mwa watu ambapo baadhi husema ni jambo la kawaida huku wengine wakipinga...
  16. mama D

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa nchini huu ndio wakati sahihi wa kutafuta ushindi wa kura za Uchaguzi wa Mkuu wa 2025, amkeni!

    Habari za asubuhi Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea. Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?

    Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali "hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

    Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi. Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe". Kwa utovu huu wa nidhamu...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

    hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1 Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika wa kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

    Nimepitia matokeo ya NECTA kidato cha pili na kugundua jambo lifuatalo. Shule za Kata zina ufaulu hafifu sana (mwingi ni wa daraja F) katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili. Somo la Kiswahili ndo limezibeba shule za kata zisitumbukie shimoni kabisa. Mifano michache ni hii hapa (ikiwemo...
Back
Top Bottom