wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati wasomi walipokuwa waadilifu

  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  4. JamiiForums Tanzania Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

    Kwa mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne. Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne...
  5. JamiiForums Tanzania Hapa mzee amezingua kinyama. Aambiwe tu asifanye issue kuwa ya jamhuri wakati ni family matters

    Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele. Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Saa mbovu Chalamila wakati mwingine inapatia majira

    Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini yanawekwa hadharani kwa njia ya kuchekesha. Wapo wanaodhani kuwa ameupata ukuu wa Mkoa kama bahati tu, kama...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwepo utaratibu kuwalinda watoto viwanjani wakati wa mechi

    Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela. Nilikuwa sijui kero ya haya madude mpaka wakati fulani Bwana mmoja alikuja nalo mahali nilipokuwa nafuatilia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuna wakati Utawala wa Kidikteta unakuwa unafaa kuliko aina yoyote ile ya Utawala?

    Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza. Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa kiuongozi na kivita na walipitia ngazi kadhaa hadi kufaa kuchaguliwa uconsular. Maconsular hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei EU umepanda sasa double digit

    Double-digit inflation hits another EU member Economists label surging prices in Denmark a “true nightmare for Danish wallets” Double-digit inflation hits another EU member Annual inflation in Denmark reached 11.1% in September, the Danish news agency Ritzaus Bureau reported on Monday, citing...
  11. JamiiForums Tanzania Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muuza Kangala nimesafiri mpaka Dar kushuhudia mtananange kati ya Simba na Yanga. Nazuiwa kuingia na bastola wakati Dar sio mahala salama kabisa

    Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
  14. JamiiForums Tanzania Waukraine watakiwa wachaji simu zao mapema wakati Berluscon amlaumu Zelensky

    Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu vya umeme kutoka majeshi ya Urusi ikiongezeka. Katika nasaha zake katika kipindi hiki cha baridi...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha kihalifu maarufu kama vibeberu com chabaka wananchi mchana kweupe

    Thread was deleted
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini unalala sasa hivi, wakati ipo siku utalala moja kwa moja?

    Ipi ni sababu inayokufanya ulale sasa hivi? Unalala kwa sababu giza limeingia, au Unalala kwa sababu ya uchovu, au Unalala kwa sababu huna pa kwenda, au Unalala kwa sababu huna wa kukesha naye, au Unalala kwa sababu umelazimishwa, au Unalala kwa sababu huwezi kwenda viwanja, au Unalala kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Zile timu ambazo tulikuwa tunazipokea zikija Dar sasa ni wakati wa kurudisha ukarimu wetu kwao

    Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao? Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu. 1. Upumbavu 2...
  18. JamiiForums Tanzania TUKUTANE HAPA: Uliwahi kujikausha kwenye daladala kama umelipa nauli wakati hujalipa?

    Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji. Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho kaondoka bila hata chenji. Wabongo aisee hatari!
  19. JamiiForums Tanzania Ditopile yupo tayari kutumika wakati wowote kuunga juhudi za Rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
  20. JamiiForums Tanzania Ukraine yaishiwa silaha, haiwezi kuzipata tena kwa wakati

    Wakati vita vikiingia mwezi wa 8 mataifa ya Ulaya yaliyokuwa yakiifadhili kwa silaha nchi ya Ukraine sasa wameishiwa na silaha zao huku makampuni ya kutengeneza silaha yakisema itachukua miaka kadhaa kuweza kuzalisha tena kiasi cha kuzitosha nchi zao na ili zibaki za ziada kuoa misaada nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…