Muuza Kangala nimesafiri mpaka Dar kushuhudia mtananange kati ya Simba na Yanga. Nazuiwa kuingia na bastola wakati Dar sio mahala salama kabisa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,139
4,216
Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) .

Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
 
Umebeba kangara lakini,au umekuja ukirusharusha mikono mitupu🥱
 
Dar es salaam njoo na Ela utalindwa na utapewa chawa wewe unakuja na Bastola yako ya nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom