Rweyemam105
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 100
- 138
Hallo wana JF.
Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika, huenda ikawa imesababishwa na kuiweka kwenye wallet. Wakaniambia for the time being naweza kutumia Simbanking kwenye (ATM/Cardless) kutoa hela.
Naomba kujua kama charges za kutoa kwa ATM CARD ni sawa sawa na Ukitumia Simbanking.
Thanks.