Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga.

Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal.

Tumeshakubali kwamba ameondoka.

Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa..

Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka kwa sababu mpira ni kazi yake na kule kafuata maslahi blah blah blah jua wewe sio shabiki halisi wa mpira.

Wewe ni mchambuzi wa masuala.ya uchumi na sio shabiki wa mpira.

Shabiki wa mpira huwa haangalii hizo.

Shabiki wa mpira anataka kuona mchezaji alie lelewa na timu yake akiwa loyal kwa timu kama ambavyo yeye shabiki alivyo loyal KWA timu.

Huo ndio ushabiki wa mpira wa miguu na ndio ulio FANYA mpira kuwa mchezo unao pendwa na watu wengi Duniani.

Katika mpira wa miguu hakuna watu muhimu kama mashabiki wenye tabia na mentality za ushabiki.. HAWA ndio roho ya mpira wa miguu.

Shabiki wa mpira wa miguu ni yule anaesema Yanga mlibebwa ndio maana mliweza kutufunga Simba na sio anaesema Yanga mlituzidi mbinu uwanjani ndio maana mkashinda.

Huyu anaesema Yanga mlituzidi mbinu uwanjani ni mchambuzi wa mpira na sio shabiki.

Kama mashabiki wangekuaga wanatoa maoni yao kuhusu mechi kama wachambuzi leo hii nisingekuwa shabiki wa mpira ningetemana nao tangu nikiwa darasa la kwanza. Maana mpira ungekuwa mchezo unao boa sana na ungekosa mantiki ya ushabiki.

So waacheni mashabiki watumie haki yao ya ushabiki.

Waacheni mashabiki waseme Fei Toto ni mchezaji wa kawaida na kwamba kuondoka kwake hakuta Punguza chochote ndani ya Yanga.

Waacheni mashabiki waseme Fei Toto anaenda kuua kiwango chake. Hiyo ndio ladha ya ushabiki.

BACK TO MY POINT: HUU NDIO WAKATI WA KUMWAMBIA FEISAL UKWELI KUHUSU YEYE.

Naanza mimi kusema kama ifuatavyo:

1. Feisal is overrated. Hana kiwango hicho ambacho mashabiki wa Yanga walikuwa wanasema anacho. Fei Toto ana nyota tu ya kupendwa na mashabiki wa Yanga lakini ni mchezaji wa kawaida sana.

Mnakumbuka alivyo kuwaga anacheza namba sita? He was just a surplus. Ameanza walau kuonekana baada ya kuanza kuchezeshwa namba kumi lakini kiukweli ni mchezaji wa kawaida sana.

Fei mdogo wangu. Maneno ya Haji Manara kwamba eti wewe sio mchezaji wa ligi ya Tz ni kile ambacho wakongo wanaita " Tapash" . Ni kukupa tu sifa ambazo huna KWA ajili ya kuku encourage na kuwa kejeli watani. Ila kiukweli wewe huna kiwango hicho.

Narudia tena Feisal wewe sio mchezaji wa kutisha isipokuwa tu umekuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga.

Wewe ni mchezaji mzuri KWA sababu mashabiki wa Yanga walikuwa wanasema wewe ni mchezaji mzuri lakini tofauti na hapo believe me, wewe ni mchezaji wa kawaida sana.

2. Mashabiki wa Yanga walioumizwa na kuondoka kwako ni kwa sababu ya mazoea tu na sio KWA sababu eti wewe ni mchezaji wa kutisha.

Ni mazoea KWA maana wamezoea kulisikia jina lako likitajwa sambamba na majina ya wachezaji wengine wa Yanga. Anachukua mpira Kibwana Shomari anampa Aucho, Aucho kwake Fistoo Mayele, Mayele anamuachia Feisal Salum Abdallah..Ni hivyo tu wala si kingine.

Mazoea yana tabu ila wanayanga ambao bado hamjamuondoa Feisal kwenye mioyo yenu msijali muda si mrefu mtamsahau..

Kundi jingine ni la wanayanga ambao Wana amini timu yao inaenda kupata mafanikio makubwa kitaifa na kimataifa na wewe Feisal umekua na kulelewa hapo Yanga so walitaka wewe uwe sehemu ya hayo mafanikio ya Yanga. Wamekuwa dis appointed baada ya wewe kuondoka ghafla bila jambo hilo kutimia.

Kundi jingine ni la mashabiki wanao ona aibu kuonekana Yanga haina hela za kukulipa. Wana ogopa kutaniwa na mashabiki wa Simba kwamba Yanga mmeshindwa kumzuia Feisal aondoke KWA sababu hamna hela. Hawahuzuniki KWA sababu eti wewe umeondoka la hasha wanahuzunika KWA sababu wanaona aibu ya kutaniwa na mashabiki wa Simba ila kiukweli wewe ni mchezaji wa kawaida sana na hilo litaenda kujidhihirisha utakapo anza kucheza Azam.

Blv me huzuni ya wanayanga kuhusu sakata la Feisal ni suala la kisaikolojia zaidi kuliko uwezo ama kiwango cha Feisal.

NB: Kwenu mashabiki na wasemaji wa Yanga. Acheni utani wa kuwapa wachezaji wenu sifa ambazo hawana.

Mwisho wa siku hao wachezaji wanaamini kweli huo utani. Unawapanda kichwani halafu wanaanza kusumbua sumbua kama Feisal.

Eti sio mchezaji wa kucheza ligi ya Tanzania.

Eti thamani yake ni sh bilioni mbili. KWA mpira GANI alio nao?
 
N.b: kwenu mashabiki na wasemaji wa Yanga..Acheni utani wa kuwapa wachezaji wenu sifa ambazo hawana. Mwisho wa siku hao wachezaji wanaamini kweli huo utani. Unawapanda kichwani halafu wanaanza kusumbua sumbua kama Feisal.

Eti sio mchezaji wa kucheza ligi ya Tanzania.

Eti thamani yake ni sh bilioni mbili. KWA mpira GANI alio nao?
Na Mimi huwa sichangii kishabiki acha nikae kimya.
 
"Feisal Salum anaweza kucheza hata Barcelona" Emmanuel Amunike.

Ammanuel Amunike NI mchezaji wa zamani wa Barcelona na timu taifa ya Nigeria.
Hao ndio wameharibu akili ya Bwana mdogo.

Tatizo wapemba wanaroga sana.

Bwana mdogo kapewa nyota ya kupendwa BASI KILA mtu anakuwa anamwambia ujinga ujinga kama huu
 
Azizi ni mchezaji hatari. Naweza kumuwekea dhamana.

Mayele ana bahati ya kufunga. Feisal ni wa kawaida sana ..

Sifa anazo pewa haziendani na uwezo wake
Hakuna bahati ya kufunga mkuu,haiwezekani bahati awe nayo mtu mmoja kila siku,yule anajua kufunga
 
Kuhama kwa mchezaji haimaanishi ndio iwe sababu ya kumuona et ni wakawaida....!!! Upo serious na mpira?. Wachezaji wangapi wapo yanga na tumashangilia mbona hawafanyi Kama anayofanya Fei??, Tuache chuki na roho mbaya kwa wachezaji wetu.
Fei sio mchezaji wa kawaida hata kidogo ni panic na hasira zako juu ya fei tu kwa alichokifanya, fei ana haki zake Kama mchezaji ni wakati wake kupata pesa kupitia kipaji chake.... Kama timu yetu imeshindwa kutimiza anachokitaka tumuache aende basi....!!!.
Kumchukia mtu kisa anadai haki ya anachokifanya nao ni ulevi wakijinga sana......!!, Ninachoshukuru na kuona ni mhimu kwa yanga yetu ni Nabii kutengeneza timu isiyotegemea sana mchezaji mmoja mmoja ili kupata MATOKEO..... Fei ni mchezaji wa daraja zuri Sana tuache chuki za uyanga hapa Kama hatutaki kumpa anachokitaka tumuache... Mambo ya eti kumuencourage mbona ambundo au makamba hawafanyi akiyoyafanya fei...!!
 
Fei ni mchezaji wa kawaida sana . KWANZA tumesha msahau.

Full time : Yanga 3 Azam 2
 
Back
Top Bottom