wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  2. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Mabadiliko: Wito wa Serikali ya Mpito kwa Ajili ya Tanzania Mpya

    Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi. Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Poleni watanzania sisi ni ndugu, Tusali huu sio wakati wa kunyoosheana vidole

    Msanii wa Maigizo 'Bongo Movie' Steve Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika haya: "Mstafuuu,....watanzania wenzangu,..kwanza kabisa tutambue sisi wote ni ndugu tumezaliwa katika tumbo 1 tu linaloitwa Tanzania Kama Mtanzania nichukue nafasi hii kuwapa pole ndugu, jamaa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vodacom kurejesha Bando kwa wateja walionunua na hawakutumia wakati Mtandao ulipozimwa

    Wakuu, Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu sasa kama kuna kapitisha uongozi wa huu unakufa mdomo wazi

    Kilichofikia sasa wenyekiti wa CCM na wengine kupitia ujinga wa waziri mchengerwa mnaanza kuponza watu maana wameanza kuochoma watu ili wafanikiwe kuishi kwa amani ila amani ngumu. Sasa imekuwa wakati mgumu mpaka wanaojulikana nafasi zenu na familia zao wameaanza kuwakataa au kimbia maneo...
  6. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee wa Upako: Tumeitia doa nchi yetu, tuangalie wapi tumejikwaa turekebishe, huu sio wakati wa kulaumiana

  7. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Madiwani wa Mchongo na Familia za Mapolisi watakuwa na wakati mgumu na kujutia maisha yao

    Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile. Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
  9. mkuuwakaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wamepika matokeo wakati hesabu hawajui, kitawalamba soon

    Matokeo ya Uraisi wameyapika na mbaya sana hesabu hawajui. Soon wanaenda kuumbuka, na sisemi wapi watashikwa/ kitawalamba na upishi wao wa kitoto. Hesabu ni sayansi
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  11. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnatekana ninyi kwa ninyi watu wa bara. Sisi Wanzazibar hayatuhusu, ni wakati wetu kupumua

    Miaka ya Nyuma haya mambo ya kutekwa na kupotea yalikuwa Zanzibar wakati Marais wakiwa Wabara. Hadi sasa kuna wakimbizi wa Zanzibar huko kenye waliokimbia utekaji na Virungu vya Polisi. Kipindi hicho hakuna hata Mbara aliyetutea.. Sasa ni zamu yenu.. Mtatekana na kuuana hadi mtubu kwa Mtume...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

    Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea. Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sahihi wa kupata CDF au IGP Mzanzibari, hakuna kinachoshindikana

    Sioni ikishindikana kwa afya ya muungano kuwepo CDF au IGP kutoka Zanzibar.
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Wamegeuzwa Watumwa wa Mfumo Uliokufa – Ni Wakati wa Kuishtaki Akili ya Taifa!

    Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Playlist: Ngoma/Music kali wakati wa tendo

    Tushushe hapa ngoma kali za minyanduano. Kuna zile ngoma ukiwa unazipiga wakati huo zinaongeza sana mzuka/radha ya minyanduo. Please hii haiwahusu wale wanaomaliza ndani ya dakika moja, angalau uwe unaweza kumudu dakika 10 kuendelea Mie naanza 1. Drunk in love ya Beyonce na JayZ 2. Drunk in...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati utahitajika kuusikia UKWELI hata kama utakuwa ni mchungu

    Andiko hili ni kwa hisani ya ndugu Vareliano Ulrick Mtundu "..........mfalme akamwambia Yeremia, nataka kukuuliza neno, nawe USINIFICHE neno lolote. Basi Yeremia akamwambia Sedekia, kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza." (Yeremia...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania DAWASA huwa hawajifunzi kuwa miaka yote mwezi wa 9 na wa 10 wakati wa kiangazi kuna shida ya maji!

    Katika mambo ambayo yananshangaza sana ni namna shiriki la dawasa linavyoongozwa mfano mwezi wa tisa na wa kumi kama mvua za vuli zikichelewa kunyesha kuwa na uhakika kunakuwa na shida ya maji kwa sehemu kubwa ya mkoa wa dar es salaam Na ukiwauliza wanakupa majibu marahisi huu ni wakati wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bro, ondoka hapo kijijini usibweteke, Wakati mwingine sio wewe, ni mji huo mdogo unaokuzuia kufika mbali

    Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji. Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone), hata hivyo unaweza kukubana kwa ndoto zako zikose pumzi huku ukioza taratibu. Katika maisha, mara...
Back
Top Bottom