wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI

    Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

    Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ? Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
  7. Kishoka1

    JamiiForums Tanzania Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

    Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo. Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

    Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili. Taarifa hizo ni hizi hapa; 1. Jina la Biashara Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa. 2. Address ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents zinazohitajika Wakati wa kuongeza Mtaji wa Kampuni

    Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital. 1. Board Resolution Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati wa kuomba kura hatusikii ziara za Norway Sweden USA Je, hazina umuhimu kwa nchi wakati huu?

    Kama zile ziara za kutwa mara mbili kwa wiki kama dozi zilikuwa na umuhimu, Kwanini zisimame wakati huu? Ina maana si muhimu kwa sasa?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi. Wakati unaongea na Mama alikuwa anakusikiliza au anakusikia?

    Haujapita muda mrefu sana amekujibu kwa namna ya kawaida. Huwa mkienda Ikulu mkanywa Juice mkapewa na ya Usafiri basi mnatoka mkiwa mmeacha akili mlango wakati mnaingia na mnapotoka mnatoka bila kuzichukua. Mnakuja zipata baadaye au msizipate kabisa. Ulitoka Ikulu umebadilisha na Chorus... Mimi...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasiasa wasiotutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe

    Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe. Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai. Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Tanzania kumpa maua yake Meya mstaafu Max kwa kuvumbua kipaji cha Alphonce Simbu na majina mengine makubwa kwenye riadha

    Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amekuwa kwenye wakati Mgumu sana hapa Yanga. Amekuwa akidharaulika

    Kila mara linapokuja Tamasha la Wananchi yeye anakuwa na kazi ya kuhamasisha tu watu kufika Uwanjani lakini Siku ya Tukio msemaji Mkuu anakuwa Chaguo la Tajiri Haji Manara. Mwaka huu aliahidi kuwa ndani ya nyumba angeshika kipaza dakika za mwishoni anakuja aaambiwa " hilo suala la kutambulisha...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunaagiza kuku kutoka Brazil wakati ardhi tunayo?

    Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide. The goal is to drastically reduce reliance on...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  20. alexjosephat

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wawajubiswe kama watashundwa kutekeleza zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
Back
Top Bottom