wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana Wamegeuzwa Watumwa wa Mfumo Uliokufa – Ni Wakati wa Kuishtaki Akili ya Taifa!

    Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
  2. Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  3. Playlist: Ngoma/Music kali wakati wa tendo

    Tushushe hapa ngoma kali za minyanduano. Kuna zile ngoma ukiwa unazipiga wakati huo zinaongeza sana mzuka/radha ya minyanduo. Please hii haiwahusu wale wanaomaliza ndani ya dakika moja, angalau uwe unaweza kumudu dakika 10 kuendelea Mie naanza 1. Drunk in love ya Beyonce na JayZ 2. Drunk in...
  4. T

    Kuna wakati utahitajika kuusikia UKWELI hata kama utakuwa ni mchungu

    Andiko hili ni kwa hisani ya ndugu Vareliano Ulrick Mtundu "..........mfalme akamwambia Yeremia, nataka kukuuliza neno, nawe USINIFICHE neno lolote. Basi Yeremia akamwambia Sedekia, kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza." (Yeremia...
  5. DAWASA huwa hawajifunzi kuwa miaka yote mwezi wa 9 na wa 10 wakati wa kiangazi kuna shida ya maji!

    Katika mambo ambayo yananshangaza sana ni namna shiriki la dawasa linavyoongozwa mfano mwezi wa tisa na wa kumi kama mvua za vuli zikichelewa kunyesha kuwa na uhakika kunakuwa na shida ya maji kwa sehemu kubwa ya mkoa wa dar es salaam Na ukiwauliza wanakupa majibu marahisi huu ni wakati wa...
  6. M

    Bro, ondoka hapo kijijini usibweteke, Wakati mwingine sio wewe, ni mji huo mdogo unaokuzuia kufika mbali

    Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji. Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone), hata hivyo unaweza kukubana kwa ndoto zako zikose pumzi huku ukioza taratibu. Katika maisha, mara...
  7. GE2025 Urais wa zamu wakristo na waislamu ni kansa ya Chuki kwa Taifa na mfumo uliopitwa na wakati

    GT Hiki ndo kirusi kikuu kinacholitafuna taifa na pengine kuzidi kurudi nyuma tena nyuma zaidi. Hatutaendelea kamwe na tutazidi kuchukiana milele ajenda kuu ya wanasiasa wetu ni wizi ila wanatuchonganisha kwa makusudi. Akili za hawa waumini wetu wanazijua wao wenyewe bahati mbaya hata watawala...
  8. Z

    Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  9. K

    Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI

    Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
  10. Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  11. Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  12. Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  13. Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

    Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ? Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
  14. Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
  15. Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

    Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo. Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
  16. L

    Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

    Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili. Taarifa hizo ni hizi hapa; 1. Jina la Biashara Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa. 2. Address ya...
  17. L

    Hizi ni documents zinazohitajika Wakati wa kuongeza Mtaji wa Kampuni

    Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital. 1. Board Resolution Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
  18. GE2025 Wakati wa kuomba kura hatusikii ziara za Norway Sweden USA Je, hazina umuhimu kwa nchi wakati huu?

    Kama zile ziara za kutwa mara mbili kwa wiki kama dozi zilikuwa na umuhimu, Kwanini zisimame wakati huu? Ina maana si muhimu kwa sasa?
  19. GE2025 Mwabukusi. Wakati unaongea na Mama alikuwa anakusikiliza au anakusikia?

    Haujapita muda mrefu sana amekujibu kwa namna ya kawaida. Huwa mkienda Ikulu mkanywa Juice mkapewa na ya Usafiri basi mnatoka mkiwa mmeacha akili mlango wakati mnaingia na mnapotoka mnatoka bila kuzichukua. Mnakuja zipata baadaye au msizipate kabisa. Ulitoka Ikulu umebadilisha na Chorus... Mimi...
  20. Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…