Report ya uchunguzi ya NTV Kenya ya Machi 2026, “Devolved Feast,” imeibua mjadala mkali baada ya kufichua matumizi ya kifahari katika baadhi ya serikali za kaunti.
Uchunguzi unaonyesha mabilioni yanatumika kwa vitu kama “pencils na papers” lakini kwa uhalisia hizi ni inflated office expenses na lifestyle ya kifahari kwa viongozi. Wakati huo huo, huduma muhimu kama healthcare, maji na barabara zinaendelea kusuasua.
Kaunti ya Migori ilitajwa kwa concerns za misuse of funds, huku Nyeri pia ikiangaziwa kwa matumizi makubwa ya stationery. Hata hivyo, gavana wa Nyeri alijitokeza kujitetea akisema kuwa fedha hizo zilikuwa zimewekwa chini ya vote ya “stationery” lakini kwa kweli zilikuwa zinahusisha broader development support na operational needs, si matumizi ya anasa kama ilivyoelezwa.
Kwa ujumla, report inaonyesha kuwa takriban magavana 12 walitenga kati ya KSh 402M hadi KSh 2.4B kwa operational costs badala ya direct development hii ikizua maswali kuhusu priorities zao.
Bottom line? Wananchi wanabaki kuuliza je, devolution inaleta maendeleo ama imegeuka kuwa “feast” ya viongozi?
Source : NTV