wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

    Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport? Tuna...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mechi kati ya TRA United na Simba SC yaahirishwa hadi wakati mwingine kutokana na mvua

    Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na mpira kushindwa kudunda Uamuzi huo umetolewa na Mechi Kamishna baada ya vikao vya pande zote 2
  4. R

    JamiiForums Tanzania Simbanking Vs ATM card charges wakati wa ku-withdraw

    Hallo wana JF. Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika, huenda ikawa imesababishwa na kuiweka kwenye wallet. Wakaniambia for the time being naweza kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Iran imetia umakini kulipua raia wakati Marekani na Israel wanalenga zaidi silaha, viongozi, viwanda vya silaha, rada, meli za vita, n.k?

    Najiuliza sipati majibu. Hadi sasa Marekani na Israel wameharibu kwa kiasi kikubwa meli za kivita za Iran, ndege za jeshi la Iran, vituo vya makombora na drones, Ulinzi wa anga, vituo vya kijeshi, miundombinu ya mafuta, n.k. Wameweza kuwaua pia viongozi wakubwa kama Ayatollah na makamanda...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Documents Tatu unazo hitaji Wakati wa Ku file annual returns

    Habari mjasiriamali, Kama wewe ni mmiliki wa Kampuni nikukumbushe kua kila mwaka unatakiwa ku file annual returns. Sasa hizi ni Documents Tatu unazohitaji kuwa nazo wakati wa ku file annual returns; 1. Form no. 128 Hii fomu inabeba taarifa zifuatazo Wamiliki wa Kampuni ambao ni shareholders...
  8. JamiiForums Tanzania Je! Ni vitu gani ukiambiwa ufanye unaweza kufanya wakati wowote hata ukikurupushwa usingizini saa 7 usiku?

    Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa. Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tsh. Bilioni 500 zinatengwa kwa Mwaka kwa ‘package’ ya magari ya Viongozi wakati Ambulance ni chache nchini

    FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali. Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
  10. JamiiForums Tanzania Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

    Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea.. Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi?? Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
  11. JamiiForums Tanzania Mke ajipiga selfie wakati mumewe anafariki ili kumtumia mchepuko

    Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia. Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio...
  12. JamiiForums Tanzania Wadau wajadili hasara kuzimwa intaneti wakati wa uchaguzi

    KUZIMWA kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumelisababishia Taifa hasara ya dola za Marekani milioni 238, sawa na takribani Sh. bilioni 560, kwa mujibu wa ripoti mpya ya utawala wa kidijitali. Takwimu hizo zimetolewa na Ofisa Sera na Teknolojia wa Tech, Media Convergency (TMC)...
  13. JamiiForums Tanzania Ku-file kupitia mfumo mpya wa iDRAS vipengele vimekuwa vingi

    Wakuu salaam. Naomba nichangie jambo ambalo naamini wengi wetu wafanyabiashara na wahasibu tunapitia kwa sasa - ku-file returns kupitia mfumo mpya wa iDRAS wa Tanzania Revenue Authority. Zamani mambo yalikuwa relatively straightforward. Unaingia, una-file, unamaliza. Lakini sasa mchakato...
  14. O

    JamiiForums Tanzania China: Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.

    Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo. China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati wa Kujitafuta, Epuka Sana Maneno Yanayokupa Faraja

    Kuna kipindi maishani ambacho hakihitaji kubembelezwa wala kulainishwa. Ni kipindi ambacho mtu anakuwa katikati ya mapambano ya kujenga maisha yake upya. Hapa bado hujafika, bado hujaonekana, bado huna matokeo yanayoleta pongezi. Upo kwenye hatua ya kujitafuta - na hii ni vita halisi. Vita ya...
  16. JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

    Habari wana JF, Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia. Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini bei za vyakula masokoni huongezeka sana wakati wa Ramadhani?

    Ni kawaida sana kila ikifika mwezi wa Ramadhani huwa kunatokea mabadiliko ya bei za vyakula kuongezeka kwa kasi hasa maeneo ya mjini. Nini hasa husababisha kuongezeka huku kwa bei za vyakula vingi nyakati za mfungo wa mwezi wa Ramadhani?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wakati tukisubiri vita kubwa sana kati ya Iran na Marekani

    Kati ya Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Nielezee kwa kifupi sababu halisi za vita hivi, ili mtu akijitia upumbavu iwe ni shauri yake. Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo, wanaotaka kuuangamiza Ufalmu wa Mungu wa Israeli, na... 'malakia'...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…