wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kumbumbuku - Je kipande hili ulikiimbaje wakati huo kipo hot miaka ya 78?

    Sikiliza Video clip hii - hawa ni Orchestre Kiam wimbo unaitwa Moni. Sikiliza kutoka 6:40 hadi 7:50
  2. Ni wakati wa Watanzania Bara kuanza kuteuliwa Zanzibar

    Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao. Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu...
  3. Wakati nchi nyingine duniani hutafuta wasanii wachekeshaji Japani wanahitajika wasanii wanaoweza kumfanya mtu aangue kilio sio kicheko!

    Duniani hakuishi vituko Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi Jionee video mwenyewe
  4. C

    Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

    Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!. NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
  5. Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

    Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
  6. Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

    Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid. Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young...
  7. Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  8. W

    Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni mwa karne ya 18.

    Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani. Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani. Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
  9. Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  10. Wagonjwa wadaiwa kusafirishwa kwa Machela za Miti Njombe

    Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya. Pamoja na kukosekana huduma ya kitutua cha afya barabara katika kijiji hicho hazipitiki iwe kwa...
  11. Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi tatizo ni nini!
  12. K

    Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi. Kwa kutoa...
  13. Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

    Je! Ninyota! Nibahati au Niwakati tu wa Rais Samia Suluhu kuwa juu umefika? || Nineema iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania zinazohitaji pesa, "Hakuna kama Samia" Bara la Africa linauza nje ndizi zinazofikia thamani ya zaidi ya $4.3bl karibu Tshs 10trilioni,Wakati 50% ya ndizi...
  14. L

    Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

    Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari. Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au...
  15. Ni wakati sasa kwa IGP kustaafu kulinda heshima yake, Pumzi imekata

    Kwa matukio kadha wa kadha ya kesi za kubumba ambazo Mahakama imezituma, ambazo mama Samia amezikemea; Kwa ambacho kinaendelea sasa juu ya ushahidi wa makomandoo wa jeshi letu katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kwa mabacho kilitolewa na jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa MO...
  16. Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa Tanzania - ALAT

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia suluhu hassan akishiriki mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa tanzania - ALAT katika ukumbi wa Jakaya Kikwete convention center jijini Dodoma, tarehe 27 Septemba, 2021. Kuwa nami kukujuza yanayojiri...
  17. M

    Msitutoe kwenye habari iliyopo mjini kwa sasa ya Yanga kuangukia pua asubuhi mapema caf champions league kwa kutuletea takwimu zilizopitwa na wakati!

    Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
  18. J

    Zingatia usafi wa barakoa wakati wa kujikunga na Covid-19

    Uvaaji wa barakoa ni miongoni mwa tahadhari muhimu inayosisitizwa katika kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Wataalamu wa Afya wanahimiza usafi wa mara kwa mara katika barakoa inayotumika kujikinga dhidi ya maambukizi ya Corona. Inaeleza kuwa barakoa huweza kuchafuka kutokana...
  19. Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
  20. R

    SoC01 Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

    1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…