wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanga: Watuhumiwa 26 wakamatwa kwa kuvamia na kudhuru Hoteli ya Mambo View

    Jeshi la Polisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 26 na kufikishwa mahakamani Oktoba 26, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwepo; unyang'anyi wa kutumia nguvu na shambulio la kudhuru mili dhidi...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana na silaha bila...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
  4. JamiiForums Tanzania Wayahudi 5 wakamatwa baada ya kutemea Wakristo mate huko Israel

    Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu. Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
  5. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Maafisa wa Jeshi walioagiza Askari kuua Waandamanaji wakamatwa

    Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua Waandamanaji. Kwa mujibu wa Ripoti ya Wizara, Vikosi vya Usalama viliingilia maandamano ya Waumini wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  7. JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la Selandar eneo la mikoko

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu mbalimbali katika maeneo ya daraja la selandar eneo la mikoko. Akiongea na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  9. JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa mkoani manyara wakiwa na pesa za kitanzania na simu 27

    Jeshi la polisi mkoani manyara linawashikilia watu wawili, mohamed said na diana lozi wakazi wa dsm kwa tuhuma za kukutwa na fedha taslimu za kitanzania wakihiswa ni za wizi na simu za mkononi 27 , katika nyumba ya kulala wageni mjini babati. Mwenye taarifa kamili tunaomba msaada.
  10. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  11. JamiiForums Tanzania Crowd funding: Wakurugenzi wa Kamono Farms wakamatwa kwa kujipatia fedha za wananchi isivyo halali.

    Hii ni kama utapeli wa Jatu au Mr Kuku ila imetokea nchi jirani ya Zambia. Wakurugenzi watatu wa Kamono Farms wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa makosa ya kujipatia pesa kilaghai kutoka kwa wananchi kwa kuwashawishi wawekeze fedha zao kwenye kilimo kwa ahdi ya kupata faida kubwa sana kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Watoto wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu wakamatwa mkoani Katavi

    Jeshi la polisi mkoa wa limewakamata watoto 15 ambao wanaojihusisha na makundi ya uharifu huku wakiwa na umri Mdogo ambayo yamekuwa yakijukiana kwa majina ya Damu chafu na Manyigu na kuwa tishio kwa usalama wa Wananchi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Ali Hamad Makame amesema watoto hao...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wakamatwa wakisafirisha shehena ya vipodozi vyenye viambata sumu kwenye tanker la mafuta

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako na doria za nguvu na zenye tija katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio makubwa ikiwemo kukamata watuhumiwa 14 kati yao wanaume ni 11 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa kusafirisha vipodozi vyenye viambata sumu na...
  14. JamiiForums Tanzania Singida: 6 Wakamatwa kwa tuhuma za Mauaji na Kufukua Makaburi

    WATU sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida wakihusishwa na mauaji ya watu, ufukuaji wa makaburi na kuchukua viungo, baadhi ya vitu vya maiti katika maeneo tofauti wilayani Manyoni. Imeelezwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, leo Machi 28, 2023 kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wanawake wawili wakamatwa na Nyara za serikali

    Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambaye yuko hai. Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023...
  16. JamiiForums Tanzania CPJ: Takriban wanahabari 14 wakamatwa, kushambuliwa au kunyanyaswa wakiripoti uchaguzi wa Nigeria

    Takriban wanahabari 14 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wamezuiliwa, kunyanyaswa, au kushambuliwa wakati wakiripoti uchaguzi mkuu wa Nigeria, akiwemo mmiliki wa tovuti binafsi ya habari ya WikkiTimes Haruna Mohammed Salisu, ambaye bado anashikiliwa na polisi bila kufunguliwa mashtaka...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wadogo wakamatwa kwa ujangili, waua Twiga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na TAWA limewakamata watu wawili waliotambulika kwa majina ya Richard Paulo (Miaka 23) na Masiaya Lais (Miaka 19) katika kijiji cha Minjingu katika hifadhi ya Jamii ya Burunge wilayani Babati wakiwa nyara za serikali ambazo ni nyama ya Twiga...
  18. JamiiForums Tanzania Tanga: Wanafunzi 12 wakamatwa wakivuta Bangi vichakani

    Wanafunzi 12 wa shule ya Sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga wamekamatwa vichakani wakivuta bangi na kucheza kamari muda wa masomo hali iliyopelekea uongozi wa shule hiyo kuwasimamisha masomo kwa muda wa siku 14. Wanafunzi hao wamekamatwa kufuatia oparesheni maalumu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kuwakamata wanaodaiwa kufanya Ujambazi maeneo ya Goba, wajeruhiwa kwa risasi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, tarehe 08/1/2023 saa 6 :30 mchana eneo la Mabibo External Kinondoni lilifanikiwa kuwakamata majambazi sugu wanne wakiwemo Athuman Yusuph Mbalilo SOTI (50) Mkazi wa Kimara Temboni, Mpoki Raphael @ Mwangwisya (41) mkazi wa Mbezi Luis na wengine wawili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…