wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nani anawajua Wajumbe wa Baraza la Wadhamini la kanisa Arise & Shine (Kawe)?

    Kanisa la Arise & Shine limezindua HEMA KUBWA AFRIKA AFRIKA MASHARIKI. Je ni wa kina nani ni wajumbe wa Baraza la Wadhamini.
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia CCM Meatu anavyogawa pesa kwa wajumbe, tumelalamika hatusikilizwi

    Huyo hapo kwenye video anaitwa Hamis Salum Hamis, ni mmoja wa watia nia kupitia CCM nafasi ya Ubunge kwenye jimbo la Meatu Mkoani Simiyu. Hapo yupo katika moja ya kijiji uko kata ya Makao, na yupo na Diwani wa kata hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu anaitwa Anthony...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wajumbe siyo watu wazuri wamchimbia kaburi mgombea ubunge

    GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
  4. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  5. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wajumbe ni watu gani

    Katika watia nia wote haswa wa ubunge wote wanategemea mchujo kutoka Kwa wajumbe. Sasa naomba kuuliza hao wajumbe ni watu gani ni mabaloziywa nyumba Kumi au ?
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha wamtaka Comrade Dr Makonda

    Wajumbe kwa ujumla wao. Wamemuelewa RC na Mwenezi Mstaafu Comrade Dr Makonda. Isanga family
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia awaka Wabunge kuongea na Wajumbe kwa Simu Bungeni, atishia Kamera kuwamlika

    Spika Dkt. Tulia alivyowataka Wabunge kupunguza sauti na kuepuka kuongea na Simu na Wajumbe Bungeni; "Mnaanza kidogo kidogo, halafu zinapanda" "Waheshimiwa Wabunge mnajadiliana mambo ya msingi sana lakini punguzeni sauti, wale mnaoongea na simu mnaanza kuongea kidogo kidogo lakini baadaye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Organaizesheni CCM Issa Haji Gavu: Wajumbe msichague viongozi legelege kwenye kura za maoni

    Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza Katika mkutano huo, Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Tarimba Abbas...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya utatu wa tai,dubu na dragon ya wajumbe vivuli wa amani/wa vita

    Naomba niwahabarishe kidogo tulichoamua na wenzetu tangu juzi ili kufikia makubaliano yatakayookoa pande zote. Mimi nikiwa kiungo wa kati niliweza kushiriki na wenzangu kwenye kikao cha siri kilichoanzia kwenye simu mwisho tukakutana kwenye nchi moja ndogo ya ulaya. Nikiwa kama mwakilishi wa...
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wakati wa kuvuna ndio sasa

    Nitashangaa kama kuna Mjumbe atalia njaa baada ya hili zoezi. Nakumbuka 2020 KAWE ilikua ni mwendo wa Miamala kupitia simu za Wajumbe (hapo Wagombea wanakua na namba za simu za Wajumbe wote. Pesa inarushwa kupitia Wakala wa simu kwa kuzidiana Dau).
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Catherine Magige agawa sare 1,300 kwa wajumbe wa UWT Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Arusha. Magige alikabidhi sare hizo mbele ya wajumbe wa baraza hilo lililofanyika mkoani Arusha...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kituko Mkutano Mkuu CCM: Wajumbe wamshangilia Mjumbe Chama Kikuu Urusi aliyesifia Utekelezaji wa Miradi ambayo kwa 90% imefadhiliwa na Marekani na EU

    Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao. Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
  16. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yawaaga wajumbe wa Menejimenti waliohamishwa

    Watumishi wanne waliokuwa wajumbe wa Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameagwa rasmi baada ya kupangiwa majukumu na Serikali katika taasisi nyingine za Umma. Watumishi hao ni Dkt. Veronica Nyahende aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha na Mipango, Dkt. Paul Kazungu...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Semina kubwa Songea, Wajumbe zaidi ya 800 wa siasa na Serikali za Mitaa wafikiwa na Mama Samia Legal Aid

    Hii ndio Tanzania ya watu wote. https://www.youtube.com/live/CIfhuj_3bvM?si=hu0-rcS5CnzB9JT9
  20. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
Back
Top Bottom