wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Wafungulieni wajumbe wapate hewa hata kidogo jamani!

    Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika. Pia wanahoji kwanini...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Wajumbe wengi hawajapata vitambulisho

    Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  4. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Lissu Hafai ni Radical: Hadidu kwa Wajumbe

    Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM, Wajumbe wote wamesimama kushangilia uteuzi wa mgombea Urais kasoro Luhaga Mpina

    Angalia video:- Je Luhaga Mpina:- 1. Anaumwa miguu AU 2. Hajafurahia ushindi?
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao

    Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa. Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike. Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PWANI: Hatimaye wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa rasmi Mbowe wasema bila Lissu CHADEMA ni kama CUF ya Lipumba

    https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu. Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

    Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
  10. L

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha...
  11. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Martin Maranja ndiye anayegawa rushwa kwa Wajumbe kwa niaba ya kambi ya Mbowe

    Inasemekana Martin Maranja ndiye mgavi wa pesa za rushwa kwa Wajumbe ili waweze kumpigia kura Mbowe. Chain ya pesa hizo hutoka kwa Mbowe-Boniphace na kumfikia Martin pamoja na wenzake wanao kimbizana usiku na mchana kuwapelekea hongo Wajumbe.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Uenyekiti BAZECHA aahidi kuwapeleka wajumbe Makka

    Wakuu Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka. Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

    Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala. Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025. Viongozi karibu wa kanda zote 10...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

    Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA. Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Adv Livino: Ukomo wa madaraka ni mwelekeo wa akili siyo maandishi

    Ukomo wa Madaraka ni Mjadala mzito katika kipindi hiki cha mchakato wa Uchaguzi wa CHADEMA. Mchokoza Mada, Mh. Tundu Lissu katika hotuba yake tarehe 12/12/2024 aliiweka vizuri sana kwa Viongozi wa Chama na Viti Maalumu (Ubunge na Udiwani). Hata hivyo Mh. Freeman Mbowe na Timu yake wanapinga...
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Ujinga na umasikini wa wajumbe ndio unaomfanya Mbowe aendeleee kuwa mwenyekiti wa chadema milele.

    jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

    Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni: Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe. Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
Back
Top Bottom