wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama una wivu na maamuzi ya wajumbe kadai laki zako 5

    Aku Kama una wivu na maamuzi ya wajumbe kadai laki zako 5 Binafsi wajumbee niwapongezee Hamna ubayaaaaa Yaaana ubayaaa........... Kazi iendeleeeee viva chama la wananchi
  2. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe ni WATU NA NUSU. Hatima ya utawala bora iko mikononi mwenu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu (Upande wa CCM)

    Ni nani wajumbe hao? Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani. CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe UWT CCM Mkoa wa Njombe Kupiga kura za maoni Uchaguzi Wabunge Viti Maalum

    Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe Chanzo: Mwananch_official
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM (Mkoani/Wilayani) wabaki vibogoyo!

    Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee. Poleni Wana CCM wenzangu. #Kazi na Utu.# Lucas Mwashambwa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna kura ya hapana, wajumbe 99.8% walioshiriki wanataka Maboresho ya Katiba CCM

    Wakuu, Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  8. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Mmedharauliwa. Mnafanywa Rubber Stamp

    Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Akidi ya Wajumbe itapatikanaje na Kura kukubali mabadiliko zitapigwaje

    Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura. Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maoni ya wajumbe yakizingatiwa wabunge wote wa CCM wanapita: Inshort hakuna sababu za msingi za kutoipigia kura CCM October

    Tumeona kazi nzuri aliyoifanya Mh Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan. ✓alikuta Watumishi hawajapanda madaraja kwa kipindi kirefu akawapandisha wote ✓alikuta boom vyuoni elfu 7 akapandisha kuwa elfu 10 ✓alikuta CT scan inapatikana Mhimbili tu lakini Sasa hata rukwa ipo ✓alikuta Watumishi wamesahau...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja. Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM ubinafsi, wajumbe wao wamelalamika kidogo, wamekubali kubadili kanuni, ila NRNE wagoma

    Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
  13. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Mgombea adaiwa kugawa pikipiki kwa wajumbe Mkoani Shinyanga

    Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge. Kitendo hicho kimelalamikiwa vikali na watia nia wenzake katika jimbo lake wakidai...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa

    Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe?

    Dkt. Kimei Aingiwa na Hofu Vunjo: Enock Koola Atamng’oa Kwenye Tatu Bora za CCM mbele ya wajumbe? Na mwandishi wetu Vunjo Tarehe: 13 Julai 2025 Katika kile kinachotajwa kama moja ya michakato migumu zaidi ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa miaka ya karibuni, Jimbo la Vunjo limegeuka...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Aloyce Kamamba na wajumbe damu damu kuelekea kura za maoni

    KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli. Kamamba ameonyesha uwezo mkubwa wa kuwaleta wajumbe pamoja, kwa moyo wa kizalendo na dhamira ya dhati...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitu pekee ninachowakubali CCM ni hawa wajumbe wao

    Kiukweli wajumbe wa CCM wanafanya Kazi njema. Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Asilimia kubwa ya wajumbe elimu yao ni ndogo, wanakuwa wepesi wa kushawishiwa, wasimame imara kuishinda tamaa

    "Kutokana na kuwa na elimu ndogo, wajumbe wanakuwa ni wepesi wa kushawishiwa. Wajumbe ni sehemu ya wananchi na viongozi wana pesa"- Shawn Ayoub, Mwananchi Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
Back
Top Bottom