wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  2. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Magufuli hakukata roho mbele ya mkewe au mwanae akakata mkononi mwa Hawa? Ni wahuni TU mtanijibu!

    Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo KIMSINGI kifo chake it was a planted mission Ambayo Mabeyo, Sirro na wenzake watajibu mbele ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release............... Nawashauri muwe na alternative source of electricity
  5. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutumia njia za kihuni kukataa wahuni

    Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu. NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema sasa imebaki kuwa chaka la wahuni na wahalifu, tujitenge na genge hili la wahuni tusije kuwasumbua ndugu zetu bure.

    Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree halafu ndugu zako wataabike. Tujitenge na hili genge la kihalifu kwa usalama wetu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wahuni Wameteka Kila Kitu, Wananchi Waende Wapi?

    Mpaka sasa, kama alivyosema Polepole, wahuni wamefanikiwa kuteka kila kitu: 1. Wahuni wameteka dola, ndiyo maana tunaona hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kikishughulika na kuwakamata wanaoteka na kuua wananchi. Badala yake, dola inafanya kila namna kuwalinda watekaji, wauaji na...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Carbon wahuni wamepiga zaidi ya 2.1T

    Wahuni wamepiga zaidi ya Trillion 1.2 kwenye biasahara ya Carbon hiyo ni kwa mwaka mmoja na nusu pekee. Wamasai hawakuwa wanahamishwa bure bure.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  13. Brojust

    JamiiForums Tanzania Nyie wahuni wa KM Mombasa laana inawatafuta. Tushawajua wote ingawa mlivaa musk

    Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Genge la wahuni wa CHADEMA masalia bado wanaendelea kuota

    Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wahuni: They have done so much demage. Taifa limefubaa

    Igwe Watanzania. Si vita kwa sababu, hao wanaoitwa "wahuni" walishashinda kitambo sana. Madhara waliyowisha kusababisha kwa nchi, hayawezi kurekebishika hata upewe miaka 10. Wamejikusanyia mafedha kutoka deals za nchi yetu, wameshika vyombo vya dollar, wameweka watu wao kwenye vyombo vya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania List ya wanamtandao "wahuni" wanaotikisa nchi ile ya ahadi..........

    Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya taifa 8. Bashiaae 9. Mauzi au mathread(Junior) Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs Samia, wanamtandao na wahuni.

    POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs RAIS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika hili vita ambavyo Polepole ameianzisha. Acha tuone Tamani ya pambano la kisiasa baina ya Polepole Vs Rais. Tuone njia na mbinu, rasilimali zitakazotumika, na hatma ya pambano hilo. Nani ataibuka kidedea; Tunaanza...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa mwisho. Ukitaka kumaliza Wahuni fanya kama Mungu alivyofanya kwa Farao

    Hakuna jipya duniani. Bingwa wa kushughulika na Watu viburi duniani ni Mungu Baba wa Mbinguni. Mtu wa kwanza kabisa kuwa na kiburi hapa Duniani ni Farao. Aliyekuwa mfalme wa Misri. Ili kumkomesha kiburi chake Mungu alituma Malaika kudeal na Mzaliwa wake wa Kwanza. Wahuni wa Tanzania wana...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliobaki na akili zao tuwakatae Wahuni waliotupoka Nchi yetu

    Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki. Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali. Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania ORODHA ya vijana wa Rostam na Kikwete

    1. January Makamba kkata ni geresha 2. Nape Nauye 3.Mwiguru mchemba 4.Rizi 1. 5 6. Ongezea na wewe
Back
Top Bottom