wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mgombea Urais wa CCM anavyopitishwa

    GT Kikwete na Samia waliogopa nini? Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana unadhani like seriously?
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua maCCM ni Wahuni Angalia Athony Mtaka Alivyofichwa

    GT Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali. Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Taifa lazima Limshtukie huyu Mzee, ana Mipango yake ya 2030 !! Tuwakatae Wahuni Kwa nguvu zetu zote

    Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuamini JK anamsaada kwenye taifa hili ni kujidanganya

    Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio watu wahuni ni mifumo bora

    Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
  7. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Wahuni wavamia CCM

    Aliyewahi kuwa Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliwahi kunukuliwa akisema kuwa mtu akiwa amenyooka kama rula ndani ya CCM, akimaanisha kuwa mtu wa kufuata maadili na taratibu, basi ni vigumu sana kutoboa (kufanikiwa) ndani ya chama hicho. Polepole alisema hiyo...
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Uongozi Usiohamasika na Utii wa Misingi ya Katiba ya Nchi na Katiba ya Chama: Wahuni watamzidi nguvu Polepole au atawamudu?

    Na Mwandishi WETU HUMPHREY POLEPOLE anafahamika kwa harakati zake kupambana na watu anaowaita wahuni; akimaanisha watu wasiofuata taratibu katika uongozi. Amewahi kuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Uenezi, Itikadi na Mafunzo. Huyo ndiye Polepole, ambaye hadi jana mchana – Jumapili ya...
  9. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Wale wahuni wavivu wa kufikiri yaliyo mazuri na wasiopenda kufanya kazi halali ngoja niwape hii Tip

    Kama unajijua wewe ni mtu wa mishe za magumashi ikiwemo wizi, ujambazi, utapeli na mambo meusi meusi hakikisha hutumii simu aina yeyote sasa hivi mifumo ya usalama wa taarifa imeboreshwa kiasi kwamba hata ukizima simu minara ya 5G iliyofungwa na inayoendelea kusimikwa inasoma frequency ya simu...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

    Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, wahuni walitaka wakurubuni eti uje kumzika baba yako, usingelirudi duniani, ungepotea kama Mdude, Soka et al na wengine

    Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima . Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi wahuni wamepiga hadi madhabahuni na taasisi za kidini zimeweka unafiki wao pembeni

    Kwa muda mrefu wanamageuzi ndani na nje ya vyama vya siasa wamekua wakiteswa Dana na wahuni,magereza,mitaro,risasi,miili kutupwa kama mizoga baharini imekua ni mapito ya kwaida kwao!! Katika vipindi vyote hivyo,taasisi kubwa za kidini zilionyesha unafiki Kwa kuwa karibu na viongozi watesi...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Israel kuhusu tukio la octoba ilituchezea akili. Ilishirikiana na Hamas wahuni kuteka wale watu ipate sababu

    Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biblia imeandika wazi kuhusu wajane na wagane kwelikweli. Si kama hawa wa siku hizi wahuni tu

    Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha. Kuna watu wanaoombaomba wanaviungo vyote,au wanaupungufu wa akili kidogo lakini unaona kunashida ktk...
  15. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Uchambuzi Wa PolePole kwenye Hoja ya Wahuni

    Polepole anasema ''Inaweza kuwepo serikali lakini nyuma yake kuna kikundi cha wahuni ndicho kinaiongoza. Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kuna hawa wamama hutupigia pande wahuni kwa mabinti zao waangaliwe kama tunu kwa taifa hili

    Tajiri hasalimii. Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao kimoja. Siku mnakutana tu utasikia "Tajiri Magreth anakuulizia anasema sikuhizi umepotea sana mtaani"...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Tabora: G55 ni wahuni na wasaliti wanakiuka msimamo na maazimio yaliyopitishwa kwenye mikutano halali ya chama

    Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
Back
Top Bottom