Baadhi ya Night Club kuna wahuni wenye ubabe wa kizamani

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,549
Reaction score
3,771
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.

Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
 
Wanaume kusaidiana
Alaf iweje uogope Kwan hujiamin 😃
 
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.

Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
Wahuni wamekununulia kinywaji Mkuu?

Huenda Kuna kitu wamekiona kwako..
 
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.

Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
Nimefatilia mambo unayopost humu nahitimisha kusema we ni beautiful gay.
 
Pole sana, ulipewa ofa ya bia ? Una mengi ya kuelezea, tuliza wenge uje utumbie ilikuwaje? Ulikunywa ngapi ?
 
Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana.

Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
Watakuwa wameona dalili kuwa yas by mixx yako haina password wanataka kutoa salio ....kuwa makini weka mtandao vizuri huo
 
FB_IMG_17486260138529094.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom