wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Mtwara: Mganga Mfawidhi asimamishwa kazi kwa kuwaambia Wagonjwa yeye ana Roho Mbaya kuliko wanavyofikiri

    https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
  2. A

    JamiiForums DOKEZO Waziri Ummy sisi Watumishi tuliohudumia Wagonjwa wa UVIKO-19 Amana Hospital hatujalipwa posho mpaka leo

    Nadhani mnakumbuka Hospitali ya Amana ilishiriki kuhudumia Wagonjwa wa COVID-19 hiyo ilikuwa kuanzia Mwaka 2020, sasa katika ile kazi kulikuwa kuna posho ambayo Watumishi na Vibarua ilitakiwa tupewe. Makubaliano ya awali yalikuwa kulipwa Shilingi 50,000 kwa siku japo baadaye walishusha hadi...
  3. JamiiForums Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Vituo vya afya vya kibinafsi sasa vinatishia kuacha kuwahudumia wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipinga viwango vipya vya malipo ya huduma mbali mbali vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa Januari 2024. NHIF ilisema mapema mwezi huu kuwa imeboresha viwango hivyo vya malipo...
  4. JamiiForums Bei kubwa za dawa Nigeria zimewafanya baadhi ya wagonjwa kugeukia tiba asili

    Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia. Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
  5. T

    JamiiForums Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  6. JamiiForums CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  7. JamiiForums Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  8. JamiiForums Haki za wagonjwa zinawezaje kuhakikishwa hospitalini? Wanasheria wekezeni na upande wa afya ili kudhibiti matatizo yanayotokana na uzembe

    Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
  9. JamiiForums Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
  10. S

    JamiiForums Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli. Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa? Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja...
  11. JamiiForums Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima, Simiyu.

    Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali litakalotumika Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsha Mohamed amekabidhi gari la wagonjwa lililotolewa na Serikali ambalo...
  12. JamiiForums Mbunge wa Momba Akabidhiwa Gari la Kubeba Wagonjwa Bungeni Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Michael Sichalwe mara baada ya kumalizika kwa Bunge Novemba 2023 alipokea gari la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba. Gari hilo la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba, Condester Sichalwe alilipokea kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  13. JamiiForums Maoni kuhusu suala la wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitali ya Muhimbili

    Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni. Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
  14. JamiiForums Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
  15. JamiiForums Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  16. R

    JamiiForums Natoa wito kwa Watanzania kumuunga mkono Prof. Jay katika kampeni ya kumpata fedha za kuhudumia wagonjwa wa figo

    Nitoe pole kwa Prof. Jay kwa machungu aliyopitia kipindi chote cha ugonjwa. Ninashukuru mwenyenzi Mungu kwa kuzidi kumpa nguvu na afya yakumtumikia. Nimpongeze pia Prof. Jay kwa kuona upo umuhimu wa kuwa na foundation itakayosupport wagonjwa wa figo. Hii ni vision nzuri na nia njema kwetu ambao...
  17. H

    JamiiForums Serikali iangalie namna ya kuwasaidia Wagonjwa wa Dialysis MNH

    Wagonjwa wa figo hawana msaada. Gharama ni kubwa sana dialysis kwa session moja ni Shs 180,000. Mgonjwa anatakiwa kufanyiwa angalau mara tatu kwa wiki. Ikimaanisha Shs 540,000 kwa wiki. Wenye bima ya NHIF ya individuals kama Timiza haikubaliki. Dawa nyingi za kutibu figo hazikubaliki kwenye...
  18. JamiiForums Israel yaogopa wagonjwa na maskini

    Kitendo cha jeshi la Israel kupiga magari ya wagonjwa na kambi za wakimbizi wanakoishi mafukara kumewashangaza mpaka viongozi wa UN na US. Msafara wa magari ya wagonjwa na waliojeruhiwa vibaya uliokuwa ukiondoka hospitali kuu ya Alshifa umepigwa na makombora mazito kutoka angani na kusababisha...
  19. JamiiForums Samia Love yarejesha Tabasamu kwa Wagonjwa wa Nyonga, Goti

    Wagonjwa walionufaika na matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti yaliyotolewa na jopo la madaktari wa mifupa na nyonga kutoka Los Angles, Marekani Agosti mwaka huu kupitia mpango wa 'Samia Love', wamerejesha tabasamu baada ya hali zao kuimarika. Wagonjwa 45 waliofanyiwa upasuaji huo wameanza...
  20. JamiiForums Rais Samia azindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…