wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Kibiongo 50 hadi 60 wanapokelewa MOI kwa Mwaka

    Katika kuendelea kuhakikisha huduma za matibabu ya kibingwa zinapatikana Nchini, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeandaa program ya Upasuaji Mkubwa wa Kunyoosha Migongo iliyopinda ‘vibiongo’ (Scoliosis). Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema “Malengo ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanga, mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika (CPAC) yamepunguza gharama za usafiri kwa wagonjwa

    Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania yametajwa kupunguza gharama za usafiri kwa wateja katika kuitafuta huduma hiyo. Mbali na kupunguza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma za Tiba Ocean Road hadi wagonjwa waandamane?

    Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku. Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza bado tiba asipate. Hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusiana na ucheleweshwaji huu zaidi ya kuwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ina Magari 12 tu ya kubeba Wagonjwa, inahitaji Magari 24

    Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12. Ameeleza hayo alipozungumza na...
  6. MwakiIV

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wanateseka hospitali ya Temeke

    Siku ya leo 17/03/2023 Kuna ajali imetokea asubuhi ya leo ambayo imesababisha majeruhi wawili, majeruhi hao walipata huduma ya kwanza kwenye Zahanati ya Kigamboni na baadae tupewa rufaa kwenda Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke. Baada ya kupokelewa ukawa na changamoto ya Umeme ambapo hata...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Redio Tanzania: Salamu za wagonjwa

    "Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2" Kiitikio; Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole* Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 34% ya Wagonjwa Hospitalini wanasumbuliwa na Magonjwa Yasiyoambukiza

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Andrew Swai, ameyataja baadhi yanayosumbua Watu wengi kuwa ni pamoja na #Kisukari, #Saratani, Magonjwa ya #Akili, #Figo, #Macho na Shirikizo la Damu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Magonjwa Yasiyoambukiza, Prof. Paschal Rugajo, sababu kuu za...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Hasheem Rungwe: Wanafunzi na wagonjwa wapewe ubwabwa bure

    Uongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia upya mfumuko wa bei hali ambayo inapelekea ugumu wa maisha kwa wananchi, huku mwenyekiti wa chama hicho Hasheem Rungwe akisisitiza suala la chakula shuleni na hospitali linapaswa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wagonjwa wanakufa

    Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa. Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo. --- Habari hii imefanyiwa kazi Jamiicheck...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwenye tukio kwa wakati tambua hili

    Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili. Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill Watakuwa walikuwa wanapita njia...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yabainika kuwa na Wagonjwa wa Surua, Watoto 12 Wafariki

    Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu mwenendo wa Ugonjwa Surua na Rubela nchini Tanzania kuanzia Julai 2022 hadi Februari 2023 jumla ya Mikao 20 imebaika kuwa na Wagonjwa. Mikoa ya Ukanda wa Pwani imetajwa kuongoza kwa idadi ya Wagonjwa ambapo hadi sasa takwimu za jumla mikoa hiyo ina...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya Usubi, Matende na Mabusha, Yanazuilika na Yanatibika!, Tujitokeze kwa Wingi Kupata Kinga, Wagonjwa Wajitokeze Kupata Tiba Bure

    Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa". Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi

    Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) iliyojengwa wilaya ya Igunga - jimbo la Igunga

    WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Hospitali ya Wilaya ya Igunga. Ujenzi umekamilika...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonesha kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa kupooza

    Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni aina ya maisha ambayo watu wanaishi kwa miaka ya hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  18. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Malawi: Akamatwa akichomoa mipira ya drip za wagonjwa ili wafe auze masanduku

    Za mchana wakuu, Hii imetokea huko nchini Malawi, jamaa mmoja muuza masanduku anaeishi karibu na hospital fulan ya umma aliingia katika hospital hiyo kinyemela na kuanza kuchomoa mipira ya drip walizowekewa wagonjwa wa kipindupindu ili wafe na yeye apate nafasi ya kuuza masanduku yake...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burundi yatangaza kuwepo mlipuko wa Kipindupindu jijini Bujumbura

    Waziri wa Afya ya Umma na Kudhibiti UKIMWI, Sylvie Nzeyimana ametangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu katika mji mkuu wa Bujumbura. "Washukiwa tisa wa ugonjwa wa Kipindupindu walitambuliwa Desemba 30, 2022 wakiwa na dalili za kuhara na kutapika, hasa katika kitongoji cha...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Majaribio chanjo ya Ebola yakwama kwa kukosekana wagonjwa

    Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni. Maambukizi ya ugonjwa huo kupitia Kirusi cha ‘Sudan strain’ yamesababisha vifo vya watu 55 tangu mlipuko ulivyoanza...
Back
Top Bottom