1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho?
2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi?
3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%?
4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wafanyakazi wanafurahishwa na maboresho wanayofanyiwa na Serikali ya awamu ya sita.
Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ mkoani yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni...
Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu.
Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'.
Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika macho...
Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu.
Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao?
Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za...
WaTanzania wanajivunia weledi, umakini, uaminifu na uchapakazi wenu katika kuwatumikia bila kuchoka, bila kukata tamaa na bila upendeleo wala ubaguzi. Wanachi wanashauku na imani kubwa mno kwenu na wanategemea huduma bora zadi tuendako.
Ustahimilivu wenu, subra na kujitolea kwenu kumewafanya...
Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika.
Lakini imekuwa tofauti tumejikuta tunakatwa hela kwenye mshahara na hatujui inaenda wapi. Tulipofuatilia ndipo tuligundua hilo...
Anonymous
Thread
ajira mpya
chama cha wafanyakazi
sekta ya afya
tunduru
wafanyakazi
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea...
Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi.
Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa waajiri wa kutokea Asia.
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na...
Zaidi ya Wafanyakazi 1,300 wa Voice of America wametakiwa kupumzika, maelekezo ambayo wamepewa ikiwa ni muda mfupi baada ya Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump kutoa maelekezo ya kusitishwa kwa ufadhili kwa Vyombo vya Habari ambavyo vinafadhiliwa na Serikali hiyo
Mkurugenzi wa VoA...
Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana.
Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
Habari wanajamvi wote wa Jamii Forums,
Naomba kushea nao maumivu waliyonayo baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya BAndari Tanzania (TPA) ambao walikutwa na kadhia ya kusimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kukusanya tozo za wharfage katika bandari kavu.
Wafanyakazi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.