wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Kuweni makini na wafanyakazi wa Kimalawi, wamekuwa wezi kila sehemu

    Angalizo tu HABARINI za asubuhi kwa ujumla Naamini wote mmeamka wazima WA afya Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde nk mnaoendaga pale kawe kutafuta wafanyakazi WA Malawi WA kuwasaidia nyumban Aka wanyasa Hawa watu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA nao wanakatwa PAYE kama kada nyingine?

    Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi. Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
  3. N

    JamiiForums Tanzania NIDA Ubungo: Wafanyakazi wabuni biashara ya kukodisha Kanga kwa wanaofuata vitambulisho

    Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea. - Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono. Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
  4. Capital

    JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kutafuta wafanyakazi au kutafuta kazi kwa wasio na sifa rasmi

    Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Trump kasema Balozi zote za Marekani zipunguze Wafanyakazi

    MAKING AMERICA GREAT AGAIN. Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke. Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha wale wa marekani na waliojiriwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

    Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
  7. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji wafanyakazi wa kulima nipigie simu

    Habari ya jua Kali na AC wanandugu. Kama kawadi dalali WA mjini nipo hapa. Una shamba au Poli na unahitaji kuwekeza mradi wako basi vijana wa Kazi WaPo wa kutosha na watukufanyia Kazi yako bila shida yoyote ile. Popote vijana wanakuja ni makubalino tu ambayo yanahitajika. Heshima na Uaminifu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF yazindua Baraza la Wafanyakazi Kidijitali Lengo ni kupunguza gharama

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira. Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi bila madili hatutoboi

    Bila kupiga dili nyama utakula mara moja tu kwa mwezi. Bila kupiga dili utapanda daladala mpaka makonda wakukariri sura. Bila kupiga dili huwezi kuwa na banda la biashara Bila kupiga dili ndugu na jamaa lazima uwazimie simu maana huna cha kuwasaidia. Tufanye Mshahara wako ni sh. 700,000...
  10. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuna uzembe wa kusimamia Kampuni za kuzoa taka, baadhi hazizingatii usalama wa Wafanyakazi

    Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na kuweka hatarini watu kupatwa na magonjwa ya aina hiyo bila kuchukua tahadhari. Inasikitisha kama sio...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader pamoja na wafanyakazi wake baada ya Hamas kuwaombea.

    Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader. Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari: “Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas na kupitia kwa ndugu zetu katika Usultani wa Oman, wafanyakazi wa meli ya Israel, ambao...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ulinzi ya Risk Insight iliyopo Masaki acheni kutunyanyasa wafanyakazi wenu (Walinzi)

    Wadau, leo ni tarehe 7/01/2025. Mpk sasa baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hii hatujalipwa mishahara ya mwezi wa December mwaka jana, cha ajabu malipo kwa wafanyakazi yamekuwa yakifanyika kwa mafungu mafungu bila taarifa yoyote kutolewa ili kuwajulisha wafanyakazi nini kinachoendelea ndani ya...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawasihi wafanyabiashara wenzangu kuacha kuwaongelea vibaya wafanyakazi wanapoacha kazi

    Mtu mmoja ambaye ni family friend na Koffi Olomide aliniambia kuwa Mzee Koffi kwenye mkataba wake wa kazi kaweka kipengele cha kutoongeleana vibaya baada ya mkataba kufikia tamati au kuvunjwa. Hii ilitokana na tukio la mwishoni mwa miaka ya 90 pale wanamuziki wake wote walivyomtoroka kabla ya...
  16. Fateema

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kazi za ndani na watu wa usafi wanapatikana Chanika Mwisho

    Habari zenu wana JF, Kwa wale ambao mna shida na wafanyakazi wa kazi za ndani nimefungua ofisi. Tuna huduma ya wafanyakazi wa kazi za ndani. Wapo wanao weza kulala kwa mwajiri na wapo ambao wanaenda na kurudi. Pia kama una mgahawa wa chakula, wanaweza pia kufanya kazi hiyo. Pia tunatoa...
  17. jangoma

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi manual work wanahitajika

    Nahitaji watu wa kufanya manual work kama kulilma, usafi etc mwanza mkolani. Piga simu namba 0766 524 042.
  18. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NHIF Tanga ni wajeuri na wanajisikia mno

    Sijajua wanajikuta wao ni kina nani.. Mtu unafuatilia bima zaidi ya miezi mitatu na majibu yao ni simple tu.. Tutafuatilia na ukifika ofisini wanakupa namba ya ofisi ambayo ni 0734163431 ili ufuatilie .. Lakini hiyo namba Haipokelewi milele na milele.. Waziri wa afya please hebu fuatilia hawa...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tufute ruzuku kwa vyama na badala yake iende kwa wakulima na wafanyakazi

    Huwa najiuliza mantiki ya kuvipa vyama vya siasa ruzuku kila mwezi. Zaidi ya makelele, migogoro, kelele, na usanii vinazalisha nini ikilinganishwa na wakulima na wafugani kwanza, na pili wafanyakazi? Kwanini hii ruzuku ya kila mwezi kwanza, isiende kwa wakulima na itakayobaki iende kwa...
  20. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania UDOM library imefungwa wafanyakazi wameenda sabato

    Jamani hali ya elimu ya juu ndiyo hiyo wafanyakazi wa vimemo wameota mapembe hawafungui library ya chuo kisa wao wameenda sabato.Hizi dharau sana aisee. Kwa stahili hii tutafika kweli uchumi wa viwanda. Library ni collage ya CIVE. Update/mrejesho 1.Library imefunguliwa saa 3 na dakika zake...
Back
Top Bottom