wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wasioboresha Mashine za EFD kuchukuliwa hatua

    Kamishna mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Dkt Edwin Mhede amesema kuwa mamlaka hiyo haiongezi muda wa wafanyabiasha kuboresha mashine za EFD badala yake itachukua hatua za kisheria kwa ambao bado hawajaboresha. Dkt. Mhede aliyasema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa nusu mwaka wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

    Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo. 'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria. Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya. Kadhalika DC Kihongosi amewaponda...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi 22 TRA kuchunguzwa, madai kubambikia watu kodi yatajwa

    Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wahisani wakibana kisawasawa, mbali na Wafanyabiashara kukamuliwa, hata sitting allowance za Wabunge zinaweza kutoweka

    Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless zinafanyika jitihada kubwa sana za kidiplomasia huku serikali ikilazimika kuji-commit kwa baadhi ya mambo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

    Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri. Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine...
  8. JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kufungua biashara mara tu baada ya kupiga kura Oktoba 28? Utaratibu kabla ya kutangazwa matokeo ni upi?

    Habarini NDUGU ZANGU, Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa. Chanzo: ITV habari. My...
  10. T

    JamiiForums Tanzania TRA mnachangia kumchonganisha mgombea wetu na wafanyabiashara. Mikoa yote mnatangaza mitaani kwa vitisho Sept. 30 mwisho kulipa kodi bila faini

    Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo na Sekta Binafsi

    Wafanyabiashara, Sekta Binafsi na Uwekezaji nchini: ACT Wazalendo itafanya nini? #IlaniACT2020 ACT Wazalendo inaamini kuwa Sekta binafsi ndio Injini ya kuendesha Uchumi wetu na kuzalisha Ajira. Hivi sasa 91% ya Ajira zote rasmi Nchini Tanzania zinatokana na Sekta Binafsi. Wafanyabiashara...
  12. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata wafanyabiashara wa bidhaa hizi ambao wako tayari kuuza bidhaa zao kwa wingi zaidi ila kwa mkopo wa muda mfupi?

    Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12. Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali...
  13. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  14. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafanyabiashara uwanja wa wazi Jamhuri Dodoma wabomolewa kupisha uwanja wa kampeni

    Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au jamhuri dodoma wamefurumushwa Katika eneo Hilo na manispaa ya jiji huku Tonga tinga likibomoa misingi na...
  15. JamiiForums Tanzania Lissu ukishinda uchaguzi inabidi uisuke upya TRA ili kukomesha unyanyasaji wa wafanyabiashara

    TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji. Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Lissu alaani unyanyasaji wa wafanyabiashara nchini

    Katika ziara yake ya Mbeya, mheshimiwa Tundu Lissu amekemea vikali unyanyaswaji wa wafanyabiashara nchini kupitia TRA. Amesema TRA inapelekea biashara nyingi kufa na hivyo haisaidii biashara kukua Wakati huohuo Tundu Lissu amelaani mtindo wa vitambulisho vya wamachinga vinavyouzwa shilingi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni wakati wa wafanyabiashara na Wadau wa Sekta Binafsi kumwadhibu Rais Magufuli

    Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura. Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  19. T

    JamiiForums Tanzania CCM inaenda kuondolewa na watumishi wa Umma, Wahitimu wa Vyuo, Wakulima na wafanyabiashara

    Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje wafanyabiashara kupandisha bei ya mafuta kinyemela bila kutangaziwa bei elekezi na UWURA

    Mara ya mwisho bei za mafuta zilipanda tu bila kuwepo kwa bei elekezi, mwenye taarifa kama utaratibu umebadilika tunaomba atujuze, tafadhali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…