wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru Rais Samia unatujali Wafanyabiashara

    Umekuwa nasi bega kwa bega. Hakuna kipindi kama cha awamu ya tano ambacho sisi wafanyabiashara wakubwa tuliishi kwa wasiwasi na mashaka Hili la kuwajulisha watanzania kuwa vitu vitapanda bei limenipa faraja sana. Maana sasa waelewe kuwa vita vya Russia na Ukraine vinaiathiri dunia sana. Mafuta...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini

    Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania? Kama unawafahamu wataje humu jamvini. Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa kuwa hawa jamaa huwa hawagusiki ukiwagusa tu unapata shida.
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania DC wa Serengeti atoa siku 7 kwa wanasiasa waliowadanganya wafanyabiashara

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Vicent Mashinji ametoa siku 7 kwa viongozi wa siasa waliowaambia wafanyabiashara warejee katika maeneo yao ya awali ya biashara na kuondoka katika maeneo yaliyotengwa, kwenda kukanusha kauli zao vinginevyo atawachukulia hatua kali za kisheria. “Niwaagize wote...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  6. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Wafanyabiashara wadogo wanatozwa kati ya elfu 50 hadi laki 3 kama adhabu

    Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TRA na Halmashauri tambueni kwamba Ujenzi wa miundombinu unaochukua muda mrefu unaathiri Wafanyabiashara, mnadaije kodi maeneo hayo?

    Ninatambua kwamba ni wajibu wa mfanyabiashara yoyote kulipa kodi ili kuchangia pato la Taifa na hatimaye kuwezesha maendeleo, na ninaunga mkono jambo hilo. Lakini Kodi inapaswa kulipwa kutokana na kinachopatikana kwenye biashara husika na si vinginevyo. Lazima tukubali kwamba ujenzi wa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

    Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wataka uchunguzi kiini moto sokoni, wadai ni njama

    Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mbuyuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza maduka matatu katika eneo la Stendi ya Mboya, huku wakidai tukio hilo ni njama. Wafanyabiashara hao wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa...
  10. Optimists

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara na wajasiriamali woote pitieni hapa.

    Wakuu habari. Baada ya kutoka nduki kwenye biashara ya mchele ndugu yenu wa damu Leo nimekuja na habari mpya ambayo itamgusa kila mmoja wenu hapa jukwani kwahiyo jitahidini kwakweli. Simnajua ndugu yenu napambana nione kama nitatoboa au vipi? Sasa wateja wangui wakubwa ni nyie mnayo nafasi ya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yavunja mabanda ya wafanyabiashara stendi ya Kawe usiku

    Serikali imevunja vibanda vya wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya biashara hizo katika stendi ya Kawe. Hali ya kushangaza mabanda hayo yamevunjwa usiku na kwa sasa polisi wanaranda kuona kama kuna ghasia yoyote kutokana na tukio hilo Japo kuna raia walioathiriwa na tukio hilo kwa vitu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza mamlaka husika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu

    Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu. Dr Kijaji amesema uchunguzi umeonyesha kuwa wakati bidhaa hizo zinapandishiwa bei gharama za uzalishaji...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TBS watoa tahadhari kwa Wafanyabiashara wanaoanika vyakula juani

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewatahadharisha wafanyabiashara bidhaa za chakula zilizofungashwa yakiwemo mafuta ya kula kuweka ama kuanika kwenye jua kwani kunaweza kuleta madhara makubwa ya kiafya kwa binadamu. Ameyasema hayo leo Afisa Uthibiti ubora TBS, Bw. Baraka Mbajije wakati...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  15. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  16. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
  17. klinbritetz

    JamiiForums Tanzania Hesabu za kampuni na kodi

    sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu, 1. LTD - 125,000 tu 2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu 3. kuandika Memorandum.... huduma nyingine ni pamoja na 1. Audit of annual financial statements 2. Monthly VAT Return 3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE 4. Monthly payroll (TRA taxes...
  18. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tujifunze kupitia haya majanga ya moto

    Habarini wana JF, Kwanza kabisa nitoe pole kwa wafanyabiashara wote wa Soko la Karume, pamoja na Kariakoo (hawa sijawahi kuwapa kutokana na janga la moto walilopata). Kuna suala moja ningependa tujifunze kupitia majanga kama haya ambapo yakitokea yanasababisha hasara kubwa kutokana na upotevu...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

  20. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Machinga wa Karume waandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wasema hawana imani na Viongozi. Mabomu ya machozi yarindima

    Wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wa soko la Karume (Mchikichini) wameandamana hadi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kushinikiza kiongozi huyo atoe tamko la kuwaruhusu waendelee kufanya shughuli zao kwenye soko hilo. Wafanyabiashara hao wameandamana leo...
Back
Top Bottom