wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vitendo vya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo; Je, tunawajibika ipasavyo kupambana na vitendo hivi?

    Kumekua na matukio mengi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wetu wa kike na wa kiume. Kwa ujumla yapo matukio mengi ya kikatili kwa watoto lakini katika makala hii nitazungumzia zaidi ubakaji na ulawiti kwa watoto wa kike na wa kiume. Katika hali ya kusikitisha sana matukio haya yamezidi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu mambo yanayofanya Wajasiriamali/Wafanyabiashara wadogo wadogo washindwe kufikia malengo

    Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao. Mjasiriamali ni nani? Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  4. JamiiForums Tanzania Ilemela, Mwanza: Afisa Biashara wa Manispaa alalamikiwa na Wafanyabiashara Wadogo

    Salaam Wakuu, Afisa Biashara Manispaa ya Ilemela, amelalamikiwa na Wafanyabiashara wadogo kwamba anafanya kazi kwa kukomoa na hasikilizi Matatizo yao. Wafanyabiashara wadogo Manispaa ya Ilemela wameomba Serikali iwasikilize kilio chao kuliko kuwafungia biashara. Hapa chini ni nukuu ya Maneno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…