wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadau wa Cryptocurrency njooni tushauriane coins za kununua!

    Nafahamu Jf ni jukwaa kubwa lenye wadau wa kila aina! Hivyo basi kupata wadau wanaojihusisha na hizi coins either kutrade au kuhold itakuwa si jambo la ajabu. Kwa upande wangu nimeanza kutengeneza portfolio kwa ajiri ya long term investment(miaka 15 mpka 20), lengo ni kufikisha usd 2000 mpka...
  2. Karibuni wadau wa vitabu

    Nauza kitabu kidogo lakini chenye maudhui yaliyojitosheleza yatakayokuvusha kiuchumi hasa wa kifamilia Kitabu kina page 29 tu na hakichoshi kusoma. Kwa atakaevutiwa karibu pm soft copy ni 5k hard copy ni 10k kama upo ndani ya Dar delivery ni free
  3. Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  4. Wadau wa maduka ya fashions tupeane mbinu

    Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja
  5. Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  6. R

    Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
  7. Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
  8. Yuan 1, Chinese currency

    Wajuvi wa mambo ya kiroho hii hela naweza kuifanyia nini maana naona kwa bongo haina thamani kabisa. Nimeikuta kwenye jeans niliyonunua dukani juzi
  9. Hivi wadau wa soka Bongo hatuna kumbukumbu?

    Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la nchi hii? Amekuwa kamptain wa Simba na Taifastars for more than 5 years hilo...
  10. Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, leo Julai 9, 2025

    Mkutano wa kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, leo Julai 9...
  11. U

    Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  12. Msaada kwa anayefahamu mawasiliano ya Ofisi za Rita Ilemela

    Habari za Leo Wadau, Nina shida na namba za Ofisi ya Rita- Ilemela. Hata nikipata za mtu anayefanya Kazi Halmashauri ya Ilemela it's good for further follow up. Hearing from you guys, it's urgent.
  13. W

    Nina swali kwenu wadau

    Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
  14. Wadau niambieni, nitapigaje kura wakati naidai serikali?

    Mimi nafanya kazi za serikali. Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy, Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k. Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe. Wakati huo huo...
  15. Wadau wajadili uhuishaji mitaala ya chuo cha Ardhi Tabora

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla. Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
  16. Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Inasikitisha sana . Israel hawataki kabisa Iran ije itengeneze tena Nyuklia. Hivi najiuliza wanajuaje hawa jamaa walipo? Na wao Israel wanafanyaje mambo haya ndani ya Iran? Nashindwa kuelewa kabisa. kwa sasa wanasayansi wengi wa Kinyuklia wameamua kukimbia Iran na wanaotafutwa waje kufanya...
  17. MCT: Wadau wa kukabiliana na taarifa potishi kama wanavyofanya JamiiAfrica wanahitajika

    Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
  18. Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

    Iwe na sifa hizi. -Ada nafuu -Elimu Bora -Isiyo na makuu -Iliyotulia -Watoto wa hali zote -kidato cha 1-6 Nk My take. Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
  19. Wadau wa Elimu Mnalielewa hili?

    Picha inaongea mimi sitosema mengi na hii sio AI ni Human Intelligence (HI)
  20. W

    TEITI yatoa elimu kwa wadau na washiriki katika jukwaa la uziduaji, 2025

    Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa TEITI ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ripoti ya 15 ya TEITI kwa kipindi cha mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…