Iko hivi, mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambaye naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikuwa yameshaisha tulibaki kulea mtoto...
Sasa, nilifikia lodge na yeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi...