Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa sana, hata hivyo matokeo ya jana azam kuliwa na Yanga yamenifanya niwashawishi viongozi wangu kufanya...
Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala.
Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia
Camara
KAPOMBE
ZIMBWE
Chamoue
Hamza
Ngoma
Kagoma
Kibu
Ahoua
Ateba
Mpanzu
Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna.
Ndiyoooo!! Huu ni ukweli Mchungu kabisa tena kweli ambao ukiumeza Lazima uombe sukari ama asali ili upoze...
Baadhi ya majina hayo ni kama
1. Sokratis Papastathopoulos
(Greece)
2. Jakub Błaszczykowski:
(Poland)
3. Grzegorz Krychowiak:
(Poland)
4. Wojciech Szczęsny:
(Poland)
5. Yevhen Olehovych Konoplyanka:
(Ukraine)
6. Jakub Wawrzyniak:
(Poland)
7. Panagiotis Tachtsidis:
(Greece)
8. Hakan Çalhanoglu...
Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji.
Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
"Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari wamewasili nchini kujiunga na wachezaji wenzao kwa ajili ya maandalizi ya safari."
"Kila Mwanasimba...
Naipenda Yanga,
Furaha yangu sio pombe, furaha sio mpira wa Ulaya, Furaha ni Yanga.
Mkifungwa mjue tunaumia zaidi yenu.
Wikiendi yangu imeanza vizuri, Naomba kesho muindeleze kwa furaha tele.
Ile ndoto niliyoota kwamba mnyama anakufa 3+ na ikatimie.
Asanteni.
Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo.
Hapa ni nyota wa kutazama kwenye derby hii.
Kibu Denis
Tangu ajiunge na Simba, Kibu amekuwa mwiba hasa kwenye...
Wachambuzi uchwara na mashabiki wa Simba walilamika ati Singida walipanga matokeo na wachambuzi wakaenda mbali ati TAKUKURU waingilie kati
Jana wachambuzi wakaja juu eti Yanga wamefanya rotation ya wachezaji kwakuwa ana uhakika wa kushinda Kwa kuwa GSM ni mdhamini wa Pamba Jiji.
Soma Pia: FT |...
Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili pale Taifa na Stella Abidjan,ni wachezaji wengi sana wameenda nje kufanya majaribio lakini huwa...
kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti
Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na moja wao akitaniana na mchezaji wa Yanga.
Kwa haya yanayoendelea, shughuli ni pevu sana katika...
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka
1. MacDonald Mariga...
Habari wakuu,
Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje!
Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
Wakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki
Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia pamba za bei, mkwanja upo wa kutosha, Ni ngumu kuambiwa NO wakitupa ndoano
Lakini kuna mchezo mchafu...
Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri
Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu.
Huko Ukraini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.