wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

    Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  5. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wanaofaa Kuitwa Legends Kwa Vilabu Vitatu Au Zaidi

    "Ni wazo tu lilinijia ghafla. Je, kuna wachezaji wowote waliowahi kuwa legends wa kweli kwenye vilabu vitatu au zaidi? Sizungumzii wale waliochezea timu kubwa tu au kushinda vikombe viwili vitatu, nazungumzia wale walioweka alama halisi, wakakumbukwa na mashabiki, waliotengeneza historia."...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
  9. MoroGent

    JamiiForums Tanzania WAJUZI: Wachezaji Wanavaa au Kufunga nini Mkononi wakati wa Mechi

    Salam sana Wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza hili jambo kwa muda mrefu na kuuliza watu kwamba ina maana gani, nimekosa majibu rasmi na ya...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wachezaji wasio na Kiwango cha Kucheza NBC Premier League

    Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu. 1. Ally Salim (Simba) 2. Chamou Karabou (Simba) 3. Che Fondoh Malone (Simba) 4. Lionel Ateba (Simba) 5. Steve Mukwala (Simba) 6. Joshua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma. Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa. Hii...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo platform ya wachezaji kucheza timu kubwa

    Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400, Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2 Aziz ki anaenda kucheza...
  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

    Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc *GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc *KAPUMBU MTEGO, reli kigoma * IDDY MBUZI , toto Africa...
  17. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Mashujaa kulamba Milioni 100 wakimfunga Simba

    Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2. Wachezaji hao wameahidiwa milioni 100 kwa ushindi na milioni 50 kwa sare dhidi ya Simba SC. Source: Nassib Mkomwa kupitia...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Inawezekana lugha inachangia kwa makocha wa kigeni kuwapendelea zaidi wachezaji wa kigeni

    Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha na pia kukupunguzia confidence. Nikiangalia wachezaji wa Simba kama Karabaka, Mashaka, Balua...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga inategemea Simba kupata wachezaji Bora

    Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia. Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
Back
Top Bottom