wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa wa Singida Black Stars wanaweza kuanza kikosi cha Simba Yanga au Azam bila wasiwasi wowote ule

    Wa kwanza ni beki Trab, kuna Maroun Tchakei, Ibrahim Likeyeke, Arthur, Elvas Rupia na Damaro. Hawa jamaa wamekamilika sanaaaaa.
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Mashabiki wa CS Sfaxien wapigana wenyewe kwa wenyewe wakivutana kuhusu wachezaji

    Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia. Tazama namna shabiki wa CS SFAXIEN alivyompiga kichwa shabiki mwenzake baada ya kuanzisha vurugu za...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Niliyosema yameanza kutimia. Nilisema Fadlu ataua viwango wachezaji sasa anaua timu

    Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji.. Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja Hadi Mavambo kocha anasema eti jitumi. Viongozi Simba oneeni huruma fedha za Mooo. Kama hamuwezi...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji Yanga wanadai malimbikizo ya posho

    Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho. Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai. Kuna bonus za last season wachezaji wanadai Kuna wachezaji Kama Azzi K hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!! GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba iache kuokoteza wachezaji majalalani

    I salute you. Simba wamejiaibisha sana sana! Michuano hiyo mepesi sana inashirikisha team dhaifu mno ambazo laiti Yanga na wenzao kina Al ahly, Mamelodi na Esperence wangeshiriki basi wangekuwa wanajipigia watu kila siku huko! Sasa Simba wao wameshindwa hata kuvumilia kubana miguu wameachia...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini timu za EPL zina majeruhi wengi kuliko timu za Ligi kuu Tanzania. Je, Wachezaji wetu wamekomaa au hawajitumi?

    Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10. Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa. Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi. Ana hoja, asikilizwe.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  14. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Bravos Wavuruga Mazoezi ya Simba kabla ya mechi, wakitaka kutikisa Nyavu

    Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana walienda kuingilia hadi program ya Makipa wa Simba waliyokuwa wanaifanya chini ya Kocha wa Makipa.
  16. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Naked truth!: Uongozi wetu Yanga ujitafakari sana na wachezaji wetu

    I salute you kinsmen. Tulisema tangu mwanzo uongozi wetu Yanga unalega lega sana , kabla hata ya kufungwa na Azam, kisha Tabora ,na sasa wasudan wale . Kuliikuwa na viashiria vingi tu uongozi wetu ulikuwa unafanya kazi kwa hisia sana kuliko akili. Gamondi manzoni mwa msimu ule alihitaji...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

    Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yanga wasitarajie ushindi kutokana na kocha mpya, ubora wa wachezaji ndiyo utaibeba timu

    YangaSc Vs Al Hilal NJE YA PICHI.... Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote mbili. Msimu huu Al Hilal wanashiriki ligi kuu Mauritania ambako mpaka sasa wanaongoza ligi wakiwa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Simba waipangia Pamba jiji namna ya kucheza, Ahmed Ally amewapa onyo wachezaji wasicheze kwa kukamia simba

    Ahmed Ally “Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses Phiri aliharibiwa kabisa maisha yake” “Nawaomba sana Pamba Jiji wasicheze kwa kukamia wakatuumizia...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
Back
Top Bottom