Nilikuwaga siaminigi uchawi mpaka nilipowaonaga live nilivyoenda tabora mayombo .kwanza kwenye bati unasikia mchanga unachuruzika na vishindo mwenyeji wangu akaniambia wachawi hao nikambishia kwamba wachawi hawapo akanipa unga wa muhogo nipake usoni ila akanipa tahadhari nisipige kelele wachawi...
Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau.
Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya kufukuzwa,kwamba alikuwa anachukua laki tano tano ili kumuona.
Kuna muda mpaka mtu unapigwa na...
Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu
Mfano njia za
Kisayansi/teknolojia
Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri,
Kisiasa/kidemokrasia
Kwenye siasa naona...
Chuki kwa viongozi ni matokeo ya maandalizi finyu ya wazazi wetu, either wazazi wetu walikataa shule wakashindwa kusoma na kupata ajira wakati wa Mwinyi au wazazi wetu ni wale ambao walikuwa wachawi Kijijin ambao kazi yao ilikuwa ni kuloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati Kijijini sasa ndo hao...
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi...
Shalom shalom
Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili.
Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao...
Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu.
1. Wachawi
Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Mchawi wa moto
Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu
Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.
Mchawi wa Kijani
Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.
Mchawi wa Kioo
Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine...
Habari za Sabato!
Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa.
Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango.
Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri...
Aisee wakuu,...ndugu yenu saivi yapata siku ya nne silali kwa amani kabisa.
Siku ya jana nikiwa tayari nimesinzia nilishtushwa na kitu ambacho kilikuwa kinanitambaa mkononi kinaanzia kwenye vidole hadi begani.,bhasi nikashtuka nikarusha shuku,nikajipangusa kwa kiwewe huku naweweseka,,nikawaza...
'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza.
Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
Wasalaam
We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6.
Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
Braza mshana hii kitu ni nini.
WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE
Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA.
Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
Kwenye biblia agano la kale utaona ya kwamba Bwana alitukataza kuambatana na wenye pepo ya utambuzi na akatukataza pia kuambatana na wachawi, ili tusipate unajisi.
Kwa maisha ya sasa, tumeona ya kwamba bado tuna watu wenye pepo ya utambuzi (sasa sijui hawa ndo waganga?) Na si kuna hawa manabii...
SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME
Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.