Jean Jacques Nadala: Refa aliyedharauliwa na wachambuzi wa Bongo kuchezesha Kombe la Dunia, 2022

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia.

Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside

Pia makanjanja hayo yalidai berkane ilinyimwa penalty na goli lao kukataliwa

Madai hayo ya makanjanja yaliungwa mkono na wasambaza bahasha za khaki na kamati ya mapokezi iliyoshinda airport kuwapokea waarabu hao

Good news kwa kamati ya mapokezi ni kwamba next week watakuwa na kibarua tena kwenda airport ila wawe wavumilivu by saaa kumi watawajua wageni wa kuwakirimu.

======

Jean-Jacques-Ndala.jpg

Jean Jacques Nadala is among six CAF referees pre-selected by FIFA for 2022 World Cup to be played in Qatar.

Ndala is a Congolese international referee since 2014. He notably refereed 32 international games in his career including Africa Cup of Nations, CAF Champions League, Confederation Cup and U-20 AFCON.

This season, he refereed 4 CAF Champions league games including Wydad Athletic Club vs Mamelodi Sundowns clash. He also refereed 2 CAF Confederation Cup games, one AFCON qualifiers and one International friendlies. He recently joined FIFA-paid referees.

Apart from Jean Jacques Ndala, here are the other five referees. Oumar Mohamed (Egypt), (Algeria), Redouane Jiyed (Morocco), Maguete Ndiaye (Senegal) and Bamlak Tessema (Ethiopia).

As a reminder, 2022 World Cup is scheduled from November 21 to December 18.
 
Kwenda world cup haimaanishi kuwa huyu ni refa bora, kwahiyo akikosea asisemwe? Japo siku ile siyo yeye wa kulaumiwa ila kibendera, offside siyo kazi ya refarii wa kati,msaidizi wake ndiye alikataa clear goal la Berkane
 
Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia.

Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside

Pia makanjanja hayo yalidai berkane ilinyimwa penalty na goli lao kukataliwa

Madai hayo ya makanjanja yaliungwa mkono na wasambaza bahasha za khaki na kamati ya mapokezi iliyoshinda airport kuwapokea waarabu hao

Good news kwa kamati ya mapokezi ni kwamba next week watakuwa na kibarua tena kwenda airport ila wawe wavumilivu by saaa kumi watawajua wageni wa kuwakirimu.

======

Jean Jacques Nadala is among six CAF referees pre-selected by FIFA for 2022 World Cup to be played in Qatar.

Ndala is a Congolese international referee since 2014. He notably refereed 32 international games in his career including Africa Cup of Nations, CAF Champions League, Confederation Cup and U-20 AFCON.

This season, he refereed 4 CAF Champions league games including Wydad Athletic Club vs Mamelodi Sundowns clash. He also refereed 2 CAF Confederation Cup games, one AFCON qualifiers and one International friendlies. He recently joined FIFA-paid referees.

Apart from Jean Jacques Ndala, here are the other five referees. Oumar Mohamed (Egypt), (Algeria), Redouane Jiyed (Morocco), Maguete Ndiaye (Senegal) and Bamlak Tessema (Ethiopia).

As a reminder, 2022 World Cup is scheduled from November 21 to December 18.
Tatizo hapa kwetu bongo kila mtu mchambuzi kisa kaaangalua mechi ikiiisha tyu baaas na ye mchambuzi au kusa shabiki wa timu flani na haipend timu flaniiiii huyooo kashakuwa mchambuziiiiii
 
Kupata izo nafasi Kwa Afrika Kuna baadhi wana 10% na connection si ubora pekeyake.
Kuna mmoja wa Uganda alishawahi kuteuliwa kimichongo akaja kuvurunda Kwa kupanga matokeo katika mechi ya mataifa huru ya Africa kati ya DRC vs South Africa na tayari alishapata nafasi na ku teuliwa kuchezesha word cup alipigwa ban ya maisha.
Jamaa alikua akiitwa Charles Masembe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom