wachache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Uhovyo wa wachache umetufikisha hapa

    "Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attention… karibia tutahitaji pads!" — Alloyce, P.R. 😄
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Foleni ya Tunduma mpakani haitatuliwi, kuna Watu wana maslahi Binafsi, inatutesa wengi

    Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha Uchumi wa watu wengi na unawafaidisha wachache. Kuna kiongozi wa masuala ya Usalama (jina...
  4. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Watu wachache

    Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya Na Maleko Goodluck J Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi kuruhusiwa kusikika wazi. Simulizi rasmi kwamba Wahutu walipanga na kutekeleza mauaji dhidi ya...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama waafrika ndio wangegundua teknolojia zinazotusaidia leo, hadi sasa zingekua mali ya wachache, wangeficha.

    We fikiria, Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri. Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia? Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo? Kama internet ingegunduliwa Africa, watu...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wachache (minority) humiliki uchumi mkubwa duniani

    Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha. Bahati mbaya sana, ubinafsi, ubabe na uchoyo ama wa kisiasa au kuitawala umehodhisha rasilimali zote kwa vikundi au watu binafsi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA watasusia uchaguzi basi wapiga kura kwenye uchaguzi 2025 watapungua kwa asilimia kubwa

    Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana. Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Songwe connection ni mtaji wa watu wachache

    Miezi kadhaa nyuma nilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyangu vya taarifa vilivyopo Mbeya mjini vikisema kwamba huko mkoa wa Songwe kuna kundi binafsi linaitwa SONGWE CONNECTION ambalo lina makadirio ya wanachama 3,800. Taarifa niliyoipokea ni kuwa kuna mkanganyiko wa kimaslahi katika kundi...
  12. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Hii inaonyesha jinsi binadamu tulivyo wachache duniani ukilinganisha na viumbe wengine,je kwanini binadamu tunajiona special zaidi ?

    Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way. Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga 1,000. Mfumo wetu wa jua upo takribani miaka ya mwanga 26,000 kutoka katikati ya galaksi hii. Kama hilo...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Kwenda mbiguni kwa elfu 20 wachache tungetoboa kama watz Kauli ya mh Heche , Wasira na uzee wako njoo.

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake . Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine . Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema. Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mtamaa (Singida) isaidiwe, Watumishi ni wachache, mazingira ni mabovu hasa kwa Wanaoenda kujifungua

    Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa. Nimefanikiwa kufika mara kadhaa katika Zahanati hiyo na kugundua mambo ambayo ni vizuri nikishea na Wana JF inaweza kuwa na...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

    Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia. Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania National crisis: Vijijini hakuna watu kabisa, wamebaki wazee wachache na vijana walevi wa visungura

    Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life. Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
Back
Top Bottom