Kumekwa na hii tabia ya viongozi wa nchi hii kuwaandalia wabunge futari jambo ambalo naamini linafanyika kwa gharama za serikali huku Serikali hii ikikemea matumizi mabaya ya fedha za Umma.
Japo mini si muislamu, najiuliza kuna thawabu yoyote wanapata hawa viongozi kwa kutumia fedha ya umma...
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
Mjadala wa ofisi ya Rais Tamisemi unakwenda vizuri ile mambo ya kusifia sifia kutoa pongezi na pole haipo leo.
Mbunge wa kwanza kuchangia Anna Kilango ametaka majimbo yote yaangaliwe kiusawa kwenye swala la fedha za maendeleo badala ya fedha kupelekwa jimbo moja tu kwa upendeleo.
Amesema...
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake)...
Tangu Bunge jipya kuanza kumekuwa na vihoja na viroja kutoka bungeni nadhani hii ni kwa sababu wabunge wengi wapo pale kwa hisani ya mtu.
Wengine ndo hao viti maalum. Hawajui haso za kusaka kura mitaani.
Hawajui wakiwa bungeni ni kujipigia kampeni ili akija mtaani asitumie nguvu nyingi sana...
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
Nilisema hapa kitendo cha kumteua Kibajaji kuwa mchangiaji mkuu wa hotuba ya Waziri Mkuu kwa kumpa dakika za upendeleo 15 hakikuwa cha busara.
Matokeo yake Wabunge wote waliofuatia nao wakawa wanapita mlemle ama kuegemea kwa hayati Magufuli au kujipendekeza kwa Rais Samia badala ya kujadili...
Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi.
Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani.
Kucheza na hivi vyombo...
Ni kawaida kwa mtu mwenye akili zake (muungwana) akianza kurushiwa maneno na kichaa huwa anakaa kimya.
Vivyo hivyo muungwana akiporwa nguo zake na kichaa, huwa anachutama.
Sasa wabunge darasa la saba kwasababu ya upeo wao finyu, hubwatuka tu dhidi ya wabunge wasomi wenye akili. Na wabunge...
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi.
Mbunge huyo...
Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu.
Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili
Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu.
Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL.
Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa...
Moja ya sifa ya mtu kamili na hususani kwa kiongozi wa umma kama alivyo Spika wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai, ni kutumia busara na hekima katika kufanya maamuzi yake iwe ni kwa kutamka kwa maneno au kwa kutenda kwa vitendo.
Leo asubuhi spika Job Ndugai ametamka pasipo umuhimu wala ulazima...
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake...
Wabunge wengi wanajifanya wanapenda mipango ya mpendwa wetu Magufuli lakini kelele zote za kusema Mama afanye ya Magufuli ni woga wa uchaguzi huru. Kama wabunge wanafanya kazi ya wananchi na wamechaguliwa kihalali uoga wa nini?
Tuwape siri tu mipango yenu sio mipango ya Mungu na kama wewe...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya...
Tukumbuke wabunge wengi elimu ni ndogo kuliko wenye elimu kubwa. Bahati mbaya hawana tabia ya kutafuta washauri kabla ya kujipanga kutoa michango. Lakini nimekuwa na hisia kwamba wapo wanaotafuta michango mizuri kutoka hapa JF.
Kwa wiki nzima nimeangalia baadhi michango ya wabunge...
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi
Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
Mh Mbowe katika hotuba yake kwa Taifa pamoja na mambo mengine mengi aliyoyazungumza, pia alizungumza kwa msisitizo sana jinsi Bunge la Tanzania lilivyogeuzwa kuwa Muhuri wa kupitisha Sheria mbovu za ukandamizaji pamoja na kuunga mkono bajeti za serikali zenye makando kando.
Mbowe alitamka bila...