wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

    Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
  2. Kisa cha kutimuliwa Job Ndugai Uspika na utawala badala ya kutimuliwa na Wabunge

    Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake. Tunaweza kusema baada ya kutofautiana na spika na Spika kujidhalilisha kwa kuomba kinyonge msamaha kwa jambo...
  3. Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

    Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao? Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
  4. M

    Wabunge wa CHADEMA (Covid-19) Nao Wajiuzulu

    Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena. COVID-19 waachie ngazi mara moja
  5. Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

    Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??
  6. Wabunge wa CCM acheni unafiki na kiherehere, mlikuwa wapi siku zote kumtetea Rais Samia mpaka msubiri aongee?

    Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa. Kelele za kumtetea Mama zilitoka kwa Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya pamoja na Karibu mkuu wa...
  7. T

    Enyi mawaziri na wabunge nini maana ya makofi na kushangilia

    Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani. Huwa mnachambua hotuba zao? Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais akimchamba Spika mnashangilia, mkiwa bungeni Spika akiongea ushenzi kwa serikali mnashangilia. Nyie ni ndege...
  8. Mtetezi wa wabunge wasio na vyama Bungeni yu hoi bin taaban

  9. Wabunge wameufyata kuhusu bosi wao? Wako upande wa nani?

    Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa. Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki? Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi...
  10. Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

    Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
  11. S

    Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
  12. Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  13. Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  14. Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

    Siku mbili baada ya shahada za uzamivu (PhD) za viongozi wa kisiasa hasa Mawaziri na Wabunge kuibua mjadala, uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umezitetea na kueleza namna ya kuondoa shaka juu yake. Akizungumza na Mwananchi, Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Faustine Bee amesema wenye shaka...
  15. I

    Nawaonea huruma wabunge wa CCM, wengi hawaturudi 2025 Bungeni

    Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo. Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema tu basi ajihesabu hana kazi na hakuna aliyekuwa tayari kupoteza kazi kisa kumpa ulaji mwingine. Kwa...
  16. James Ole Milya awa kivutio michuano ya wabunge inayoendelea jijini Arusha

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
  17. SportPesa kudhamini timu ya Wabunge Kwa kuwapa vifaa vya michezo

    • Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. • Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki. Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
  18. Mawaziri na Wabunge wanaojipendekeza kwa Samia Suluhu wasisumbuke

    Mimi ni muumini mzuri wa imani ya kidini. Siku zote huwa naheshimu viongozi kwani imani yangu ni kuwa viongozi huteremshwa na kupewa uongozi na mwenyezi Mungu. Kujipendekeza ili upate uongozi haisaidii hata kidogo. Imani yangu ni kuwa viongozi wetu wote ni zao la mwenyezi Mungu Mwenyewe...
  19. T

    Malipo ya Wabunge tangu uhuru yanaakisi maendeleo?

    Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
  20. Wabunge CCM siwatishi lakini tusilaumiane

    Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM. Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya. Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…