wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

    Tayari wenye Chama chao CHADEMA wameshawafuta rasmi nyie CCM kupitia Spika Ackson mnafanya hila za Kipopoma ( Kipumbavu ) za Kisheria ili muwabakize Bungeni. Najua CCM na System mnahangaika na hili ili Kumfutia Aibu Spika Ackson ambaye kwa Kiherehere chake alilikoroga kwa Kukurupuka Kuwatetea...
  2. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini Serikali itawafukuza wabunge 19 na kuwaunga wao kugomea matokeo ya uchaguzi

    Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa kufanya yafuatayo. 1. walitangaza kutomtambua raisi 2. Walimzuia mbunge wa nkasi kwenda bungeni 3...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wamrejesha madarakani Rais wa zamani

    Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110 Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwani Wabunge wa ACT Wazalendo hawawezi kuongoza PAC na LAAC hadi wasubiriwe wa Chadema tu?

    ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja. Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19. Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ni lazima iteue Wabunge 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili. Je watakubali?

    Kama itakuwa ni lazima Halima Mdee na wenzake wateme ubunge basi Chadema itabidi ipeleke wabunge wengine 19 ili kukidhi masharti ya Wafadhili wa miradi yetu Je, Chadema watautambua rasmi uchaguzi mkuy wa 2020 kama ulikuwa huru na haki? Je, watateua wabunge wengine 19? Tundu Lisu ataridhia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wabunge wanawake waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa mahakamani je wataendelea kuwa wabunge?

    Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu. Swali la kujiuliza. Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa uamuzi?
  8. Linguistic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SRC ya Kenya Yaondoa posho za vikao vya Wabunge.

    Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni . . Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna wabunge 19 wasiokuwa wanachama wa chama siasa wamepokea posho na Per diem. . Wakenya Hii ikoje kwenu
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

    Ili chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe. Pamoja na kuwa mmewatimua akina Mdee na wenzake lakini ukweli utabaki palepale kuwa mlishapoteza trust kwa wananchi wa kawaida. Mlishakuwa na tuhuma mbaya za ufisadi, nepotism na kuwa...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nafikiri CHADEMA wana kila haki na ruzuku inayotokana na wabunge wao 19

    Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA. Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri kwamba wanaisaidia CDM ikipata ruzuku kupitia ubunge wao. Ruzuku hiyo ni haki halali ya CHADEMA...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

    Wanabodi. Utambulisho. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za aina nyingi, wengine ni maripota, wengine watangazaji, wengine wahariri, na ndani ya makundi hayo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maswali ya nyongeza ya waheshimiwa wabunge naona bora yasiwepo

    Bungeni kuna maswali ya msingi yanayoulizwa na Waheshimiwa Wabunge na majibu ya maswali haya yanajibiwa kwa maandishi yaliyofanyiwa utafiti lakini kwa maswali ya nyongeza mjibu maswali hana majibu sahihi na hii inapelekea kutoa majibu ambayo hayaridhishi. Mimi nina ushauri kuwa majibu ya...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote. Hata CCM wanalijua hilo. Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni. Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakitaka washinde yanayoendelea hawana budi kuwasamehe wabunge 19 Kwa masharti haya

    Siasa si uadui! Mdee kuwa bungeni si kosa kisheria ila njia alizotumia zaweza kuwa si sahihi, Kwakuwa Mamlaka ya Bunge imeonekana kuwatambua basi vema hata CHADEMA ikaachana nao ila Kwa Mashrt haya 1. Kutangazia Umma kwamba alikosea na sasa wanaomba msamaha wala si kushindana na CHADEMA...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

    Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications. kamwe tusikubali. Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani zinalink na wafanyabiashara wakubwa wa mafuta.je kwa nini zilianzishwa ghafla na kwa nini tupo hapa...
  16. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

    Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI. Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni. Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja! Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  19. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wabunge CCM wana U-Magufuli mwingi kuliko U-CCM

    JOHN Magufuli hayupo duniani. Ila nguvu yake bado inaishi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Magufuli alitengeneza wabunge wake. Wanaitwa “loyal to a fault" – “watiifu wasioambiwa chochote". Wanaendelea kumtii hadi leo akiwa kaburini, kuliko kukitii chama chao, CCM. Ukarabati...
  20. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

    Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam. Suala hili limebebwa vile vile na Spika Tulia Ackson, kutetea baodaboda kuendelea kuwa kero katikati ya miji mingi nchini. Siyo siri bodaboda ni kero kubwa...
Back
Top Bottom