wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

    "Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kushindwa kutekeleza maazimio ya Eneo moja la forodha

    6 October 2022 Namanga, Kajiado Kenya KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
  3. JamiiForums Tanzania Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?. Should we adopt the American System of Goverment Mawaziri wasiwe wabunge ili wawajibike Bungeni?. Tangu kutumbuliwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la Tanzania wasiojua kingereza, walifanyaje uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika mashariki waliosailiwa kwa lugha ya kingereza?

    Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wabunge Tanzania wajitutumua kwenye kingereza

    Hongereni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni Mpango wa wabunge wahafidhina...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

    Ndg. Angela Charles Kizigha Ndg. Nadra Juma Mohamed Dkt. Shogo Richard Mlozi Dkt. Abdullah Hasnu Makame Ndg. Machano Ali Machano Ndg. Mashaka Halfan Ngole Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba Ndg. James Kinyasi Millya Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
  9. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa kila mmoja amejionea umuhimu wa Bunge kuwa na wabunge wa upinzani

    Kwa huu Utopolo unaoendelea bila shaka Kila mtu amejionea kuwa kule bungeni ni muhimu kuwa na wabunge ambao sio kijani pekee. Inshu ya Tozo kwamfano! Ni mpaka Wananchi wenyewe mtaani wanajisemea hakuna wa kuwasemea! Bungeni kule ni watu kupongeza tu. Sasa hivi bei ya nafaka haikamatiki na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais, makamu, waziri mkuu, wabunge, majaji na mawaziri waanze kulipa kodi kufidia tozo zilizoondolewa

    Ni wakati muafaka sasa watu hawa walipe kodi ili kuifikia nakisi ya bajeti iliyopitishwa mwezi juni. Huu ndio uzalendo wa kitanzania unaohitajika.
  11. JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM waliokuwa hawawataki wapinzani Bungeni, leo hii wawakumbatie Wabunge 19 wa Chadema?

    Ni dhahiri kutokana na maneno na vitendo vyake, Hayati Magufuli, hakutaka vyama vya upinzani, hususani Chadema, viendelee kuwepo hapa nchini. Huyo Mwendazake, aliwahi kusikika akitamka hadharani Katika sherehe za kuazimisha, kuzaliwa kwa CCM, huko Singida, akijiapiza kuwa ifikapo 2020, atakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania, hivi hamjajua tatizo ni Wabunge na si Mwigulu?

    Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu. Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona kosa la jamaa, bali kuna wale wapiga meza mkofi wale ndio watu wa kulaumu. Mara nyingi wamekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge mliopiga Makofi na Watendaji wa Spika nani Kawadanganya kuwa Mgeni Manara ni Msemaji wa Yanga SC?

    Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau. Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha...
  14. JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  16. JamiiForums Tanzania Wabunge wafunguka sababu za kuvunjika kwa ndoa

  17. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge hili nalo mkalitazame kwenye mjadala yenu

    Suala la bima kwa wote ni zuri! Lakini hakikisheni sheria isimlazimishe mtu kuwa na bima! Bima kwa wote iwe ni Hiari! Mtu asinyimwe huduma za kijamii kisa hana bima Mtu asinyimwe pembejeo kisa hana bima Mtu asinyimwe damu kisa hana bima Mtu asisafili kisa hana bima Mtu asinyimwe leseni kisa...
  18. JamiiForums Tanzania Zembwela wa Wasafi FM: Kutokana na hii Kero ya Tozo Lukuki natabiri 90% ya Wabunge hawatorudi tena Bungeni 2025

    "Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wabunge kwenda Mahakamani kupinga sheria ya Mtandao

    Bunge la Uganda limepitisha Sheria ya Mtandao ikilenga watumiaji wa kompyuta Nchini humo. Baadhi ya Wabunge wamenukuliwa wakisema kwamba watakwenda kuipinga Mahakamani itawahusu watu wanaochapisha taarifa za uongo mitandaoni, taarifa ambazo hazijathibitishwa na wahusika, pia kuchapisha taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania WanaCCM 8 waliopitishwa kugombea Ubunge wa EALA

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu. Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Wabunge wa CCM leo, Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…