Meya wa zamani wa manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob amesema kutokuwepo kwa wawakilishi wanaotokana na Chadema katika Bunge na mabaraza ya madiwani kunawaathiri zaidi wananchi.
Jacob, aliyekuwa diwani wa Ubungo kwa miaka 10, amesema anaamini Chadema ingekuwa na...
Muswada huo ni mwendelezo wa Marekani kupinga mtandao huo unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China.
Novemba 2022 mabosi wa FBI walielezea wasiwasi wao kuwa TikTok inaweza kuwa sehemu ya ushawishi kwa Wamarekani wengi kutumia vifaa vya China.
TikTok ambayo ina watumiaji zaidi ya Milioni...
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee amewaondoka kwenye kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa huo makatibu wa wabunge ambao waliwawakilisha wabunge kwa maelezo kuwa makatibu hao siyo wajumbe halali wa kikao hicho huku akidai wabunge wengi wa mkoa huo wamekuwa na dharau na hawahudhurii...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wabwagwa kwenye uchaguzi wa CCM Mkoa wa Singida, wabunge hao ni Mbunge wa Jimbo la Singida mjini Musa Sima na Mbunge wa Jimbo la Singida kaskazini bwana Ramadhan Ighondo waliokuwa wakigombea ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa (NEC) kutoka...
Kenan KIHONGOSI ameshindwa kuwatetea vijana katika kipindi chake chote cha uongozi akiwa Katibu Mkuu wa Vijana, leo vijana na Tanzania wanahangaika kutafuta ajira na ajira zilizopo zinachukuliwa na wageni yeye hajawahi kuitisha Press kupinga dhuluma wanazofanyiwa vijana wa nchi hii.
Bunge...
Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge.
Pia, Wabunge wamewatuhumu Mawaziri waliopita kwa kutunga Kanuni ambazo zimekuwa Kandamizi, wakisema hazikufuata mkondo sahihi kabla ya...
Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa?
1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
Huwa siwezi amini kuna kipindi Nape alikuwa anaonekana shujaa, smart. Huwa naogopa kukumbuka hilo. Kuna kipindi naye Makamba akasingiziwa kuwa ni smart.
Nlikuwa nawaambia. Ukikuta nyoka anaungua na moyo usaidie moto kukolea. Unaweza msaidia nyoka...kwa tabia za kinafiki za nyoka kuna siku...
Nape. Sina chuki naye. Lakini namwombea Mungu ampende zaidi. Majibu ambayo Nape anatoa dhid ya wananchi.... Unamsikilizaaaaaa unasema Hiiii.
Mwigulu naye ukimsikiliza na ukiona anachofanya kwa wananchi maskini. Unatabasamu unajikuta humchukiii. Unamwombea Mungu ampende zaidi.
Makamba...
Serikali mpya ya Kenya chini ya waiziri wa Uchukuzi ili ahisi kuwrka wazi kwa umma mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR kati ya China na Kenya ili raia wajue kikichopo ndani ya mkataba huo.
Na jana kweli mkataba umegawiwa kwa shombo vya habari, na Viongozi wa bunge ili waanzishe mjadala bungeni...
BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo.
Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo limeazimia na Bunge lakini mradi haujawahi kuwepo.
Azimio la Bunge kuagiza mradi huu utekelezwe haraka...
Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa?
Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa?
Halafu mlivyonikwaza zaidi...
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji...
Team, Hi!
Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu?
(a). Wabunge wanadoji vikao?
(b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya bunge kipindi hiki cha vikao vya bunge?
(c). Posho za vikao kwa wabunge hao zinalipwa kwao au...
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!!
Karani wa mahakama:
Kesi namba 36/2022
Halima James Mdee na...
Mbunge wa CCM ameibua ufisadi na wizi unaofanyika nchini pale bungeni.
Ni muendelezo wa ufisadi chini ya utawala wa CCM.
Badala ya wabunge wenzake wa CCM kukemea huo wizi wao wakaishia kucheka na kupiga makofi.
Hili bunge letu kama tunataka bunge bora basi 2025 Watazania tufanye maamuzi magumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.