wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
  2. Wabunge Wataka Deni la TPDC Lilipwe

    WABUNGE WATAKA DENI LA TPDC LILIPWE Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 31, 2023. Wabunge wataka...
  3. Wabunge wataka deni la Tsh. Bilioni 720 la TPDC lilipwe

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Serikali kulipa deni la Sh720 bilioni mauzo ya gesi kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwenda Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ambalo linaendelea kukuwa. Hayo yamesemwa leo Mei 31, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya...
  4. G

    Wabunge kugawiwa mitungi ya Gesi linaleta ukakasi mkubwa. Je, haiwezi kuwa rushwa au waziri kutafuta kukubalika?

    Wadau hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu. Kwanza niunge mkono juhudi za serikali na wadau mbalimbali wa mazingira ktk nishati safi ya kupikia Wakuu najiuliza majukumu ya wabunge ni yapi na je wamefanikiwa yote Hadi wapewe jukumu lingine la kugawa gesi kwa...
  5. T

    Wabunge wetu na mapambio kazi zilizofanyika na baadae kukimbizana na muda

    Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi. Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
  6. Wabunge wapatiwa semina kuhusu Hakimiliki

    Ofisi ya Hakimiliki nchini (COSOTA), imetoa Semina kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu majukumu na fursa zilizopo katika ofisi hiyo ikiwemo kulinda hakimiliki za Wabunifu. Semina hiyo imefanyika Mei 30, 2023 katika ukumbi wa Msekwa bungeni jijini Dodoma ambapo Waziri...
  7. S

    TAKUKURU chunguzeni haraka madai ya uwepo wa rushwa kwa wabunge kuhongwa na Waziri Makamba

    KUNA TAARIFA ZINASAMBAA KWA KASI SANA ZINAZOMHUSISHA WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA KUWAPA RUSHWA WABUNGE YA SHILINGI MILIONI 10 PAMOJA NA RUSHWA NYINGINE YA MAJIKO 300 YA GESI KWA KILA MBUNGE ILI KUMPITISHIA BAJETI YAKE ITAKAYOSOMWA WIKI HII. MAWAZIRI WOTE WAMESOMA BAJETI ZAO HAWAJATOA...
  8. S

    Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  9. WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  10. Wabunge Waalikwa Kutembelea Mradi wa ECOP

    WABUNGE WAALIKWA KUTEMBELEA MRADI WA EACOP Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amewaalika Wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutembelea Mradi wa Bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga ili kufahamu...
  11. S

    Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  12. SoC03 Tusichague wabunge kwa mazoea

    UTANGULIZI Kumekuwa na desturi ya kuchagua wabunge wetu kwa mazoea, yani hakuna upimaji wowote unao ainishwa kwamba mbunge kabla ya kugombea awe amefanya hiki na kile au baada ya miaka 5 awe amefanya na kukamilisha Jambo fulani na endapo akishindwa kukamilisha Jambo hilo iwekwe wazi kwamba hata...
  13. Diamond, Majizo,Melody uso Kwa uso Bungeni Leo, Wabunge walipuka Kwa shangwe

    https://www.google.com/search?q=diamond+majizo+uso+kwa+uso+bungeni+leo&oq=dia&aqs=chrome.1.69i57j69i59j46i67i433i650j0i67i650j0i273i650l2j0i67i650l2j46i67i433i650j0i433i512j46i340i512l3j0i512l2.1906j0j4&client=ms-android-transsion-infinix-rev1&sourceid=chrome-mobile&ie=UTF-8#
  14. Wabunge washtuka Wahadhiri wa Vyuo Vikuu kufungua bar, saluni

    Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli...
  15. S

    Tetesi: Wabunge waanza mkakati wa kupiga kura kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Majaliwa

    KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua hatua zozote. Miongoni mwa wabunge wanadai suala la Mbarali lazima litang'oka na Waziri Mkuu...
  16. Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

    Tangu suala la ushoga lianze kutikisa hapa nchini na kutua bungeni, umepita takribani mwezi mmoja sasa lakini cha ajabu bado hatujaletewa orodha ya wabunge wasenge waliobainika baada ya zoezi la upimaji. Mara zote wabunge wamekuwa mstari wa mbele kuficha mambo yanayowahusu moja kwa moja. Mfano...
  17. Baadhi ya Wanawake wa CHADEMA wanaandamana kudai katiba mpya na kutaka Wabunge 19 waondolewe Bungeni

    BAWACHA wakiwasili katika viwanja vya Posta ya zamani, Dar es Salaam tayari kuanza maandamano kuelekea ofisi ndogo za Bunge Dar es Salaam.
  18. Wawe wanachaguliwa Wabunge wenye akili. Kuna Wabunge ukiwasikiliza unapata picha wananchi wao wakoje

    Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe. Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
  19. M

    Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
  20. Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…