waandishi

  1. kavulata

    Wachambuzi na waandishi wa michezo nanyi jiandaeni kwa msimu mpya 2023-24

    Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile. Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa...
  2. F

    Tanzania ina waandishi /wanahabari wengi wa "hovyo" wasiojitambua kabisa!

    Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni! Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar! Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo...
  3. Leak

    Kwanini DP World wamewakimbia watangazaji? Mpemba huyu ni msemaji wa DP? Hawa waandishi warudishe hela za watu?

    Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania! Maswali makubwa mawili yakikuwa! 1. Mkataba ni wa muda gani? 2. DP world wamewekeza kiasi gani kwenye mradi huu? Lakini cha kushangaza wamekwenda kumuhoji...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
  5. S

    Msukuma, watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari

    Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari. Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu...
  6. B

    TAKUKURU Singida imebaini kuwepo kwa mianya ya rushwa katika baadhi ya halmashauri ikihusishwa na ukusanyaji wa michango

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo ya kipindi cha Januari hadi Machi 2023, katika mkutano uliofanyika leo May 18, 2023. Na Dotto...
  7. JanguKamaJangu

    Tunisia: Waandishi wa Habari waandamana kupinga Sheria za kupambana na ugaidi

    Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari. Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano wa Wanahabari wa Kitaifa, wakitangaza kuwa uhuru unategemea uhuru wa vyombo vya habari. Mei 16...
  8. MtuHabari

    Vyombo vya Habari na Waandishi ndiyo kaburi la Demokrasia

    Katika kipindi hiki ambacho tunakiita cha ukombozi kutoka katika udikteta wa miaka 7 tunachokiona ni Vyombo vya habari na waandishi wa habari kutuangusha kwa kujikita kwenye habari za kijinga na mizaha badala ya kutoa nafasi za kusikia hoja za msingi na kuwapa nafasi wananchi kuipata elimu ya...
  9. kavulata

    Waandishi wetu jamani, eti maswali yao kwa Marumo Gallats ni kuhusu Mayelle na Mzize

    Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari. Products ziko chini sana mpaka wageni wanawashangaa waandishi wetu. Yaani hawa waandishi kwa namna nyingine...
  10. F

    Waandishi K'njaro mliokula fedha za yule mama zirejesheni

    Baada ya jana kufichua kitendo cha waandishi wa habari wanne mkoani Kilimanjaro kudaiwa kumtaperi fedha mama mmoja ambaye mwanaye mwenye mtindio wa Ubongo amebakwa na kupata ujauzito,mjadala mkali unaendelea kwenye group la wanahabri Kilimanjaro wengi wakitaka waliofanya kitendo hicho watajwe na...
  11. F

    UZUSHI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu. Juzi mama mmoja wa Uru Mjini wilaya ya Moshi Vijijini ametoa Tsh. laki 4 kwa waandishi wa habari wanne ili...
  12. Roving Journalist

    SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  13. Dalton elijah

    Mauaji ya Waandishi wa Habari mwaka 2022 yaliongezeka maradufu

    Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4. Taarifa ya UNESCO...
  14. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
  15. JanguKamaJangu

    Burkina Faso yawafukuza Waandishi wa Habari wa Ufaransa

    Kitendo cha Wanahabari hao wawili wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa ni mwendelezo mbovu wa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo. Waandishi hao ni Sophie Douce na Agnes Faivre ambao waliwaili Ufaransa baada ya kupewa saa 24 za kuondoka, Chanzo kikiwa ni kuchapishwa kwa uchunguzi...
  16. GENTAMYCINE

    Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  17. chiembe

    Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia. Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole. Anadai Chadema wamepita jimboni...
  18. D

    Karibu asilimia 70% ya maswali ya baadhi ya waandishi wa habari Bongo ni ya ovyo; nina wasiwasi na ubora wa vyuo vya habari

    Nimefuatilia mahojiano (interview) nyingi za waandishi wa habari Tanzania! Wengi wao wanamaswali ya hovyo na kipuuzi kuliko mahitaji ya jamii inachohitaji kujulishwa! Maswali yao mengi yapo kwenye mlengo wa taharuki kwamba Flani kasema vile na vile almradi tu jambo lionekane la kuishangaza...
Back
Top Bottom