Habarini,
Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga?
Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k.
Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
1. Viongozi wanataka wabaki madarakani hadi kufa, ni vile tu pressure za watu na external influence.
2. Viongozi hawataki kukosolewa wala kuulizwa au kuwajibika kwa matendo yao.
3. Wasaidizi wao wanatembea na mfumo wa " Your wish, my command " Wanafanya mambo ya kuumiza watu ili kumfurahisha...
Waarabu na Waafrika kazi yetu kuhubiri ngono, kuzaliana lakini kwenye elimu hatumo...
Kuna wale huwa mnasema Waarabu wako vizuri kisa wana mafuta, mnasahau hayo mafuta yaligunduliwa na mzungu, na yeye hutumia mifumo yake kuyachuma, muarabu yuko vizuri tu kwenye kuuza tende na mikanzu...
Wakuna race iliyoua waafrica wengi toka dunia iumbwe zaidi ya wazungu, wametufanyia Kila hila kila nyanyaso na Kila ubaya lkn ukikaa vijiwe vya kahawa unakuta ngozi nyani/Tako zinakaa zinaionea huruma Ukraine eti urusi anaua watu!!! Lkn hapohapo anashangilia Israel anavoua watu Gaza.
Sasa mm...
Wanabodi,
Makala yangu, Gazeti la Nipashe, wiki hii.
Hali ya siasa za ndani za nchi yetu, na jirani zetu wa Kenya na Uganda, kuingilia mambo yetu ya ndani, vibaraka wao walipojipenyeza, idara yetu ya uhamiaji, ikawarudishia uwanja wa ndege, kurejea walikotoka, na waliofanikiwa kupenya...
Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika.
"Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa
ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu
katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu
kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu...
Ulaya ilikuwa inanuka. Tena inanuka sana.
Wazungu walikuwa wachafu, sema haya mambo hutokuja kuyasikia wakiyaandika kwenye vitabu vyao.
Unawajua watu walioitwa Moors? Hawa walikuwa watu weusi waliokwenda huko Ulaya.
Kuna ile nyakati Wazungu waliita Dark Ages, haikumaanisha kwamba jua halikuwa...
1. Utasikia Wazungu wanatubagua
2. Waarabu wanatubagua
3. Wachina wanatubagua
4. Wasouth Africa wanatubagua
5. Serikali zao zinawabagua
6. Wanabaguana kwa dini
7. Itikadi
8. Kabila
9. Koo
10. Imani
Ni Race Lalamishi ambayo haijawahi tokea Duniani. China iliwahi tawaliwa na Japan. Kwa sasa China...
Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote.
Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO.
Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
Hebu nichambue kwa kina kila hoja kwa kulinganisha na Waarabu na kutoa mifano ya hivi sasa:
1. Mgawanyiko wa Kikoloni na Umoja wa Kiarabu
Waafrika: Ukoloni ulitengeneza mapaka ya kigeni, kuvunja makabila, na kuacha migogoro ya kikabila (mfano: Rwanda, Congo). Hata leo, Watanzania wanaugomvi...
Nimekuwa mdau mzuri sana wa muda toka nikiwa awali.2006.
Nilisoma kwa raha sana nikiwa shule ya msingi Vikonje, Dodoma .Sababu ilonifanya nijione mimi ni bora sana kipindi hiko kwa sababu sikuwahi kukutwa kwenye jopo la waliokosa namba za saa Kumi na mbili na nusu.
Nilipofika elimu ya juu ya...
Tatizo ni ngozi?
Ubongo?
Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi?
Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka.
Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya...
Aje
Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa
Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua kubwa za kimaendeleo ya kiuchumi, mapinduzi ya vilimo, mapinduzi ya viwanda
Rejea club kubwa...
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
Ukweli ni:
1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian.
2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati),
kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana!
Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo.
Maana rasmi ya akili mnemba ni akili bandia!
Lakini ukiniuliza mimi fundi SAMICO nikueleze kwa kina hii akili bandia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.