Nachokoza mada tu leo,
Mimi ni mdau katika elimu yetu ya juu ya vyuo vikuu vya Dar es salaam, hasa katika kuandaa madaktari na waambata wao.
Hali ilivyo sasa inatia shaka sana katika utoshelevu wa wakufunzi katika fani za 'biomedical sciences', hasa katika eneo la 'Human Anatomy' (anatomia ya...