vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania: Press Release ya Ndugai wao wanaita "Barua"

    Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

    Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji. Stay tuned.
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Vyombo vya dola vitaruhusu kundi la mgombea Urais lililoamini katika utekaji, upotezaji,na kutupa watu baharini?

    Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Nchi tusilale hasa vyombo vyetu vya huyo dogo anajitanua kwa kasi ya ajabu

    Andiko hili na walione wahusika. Pamoja na siasa zetu za kunyukana mara Sukuma gang,Msoga na wana kuupiga mwingi lakini kama Nchi tutambue tunalo tishio lililo bayana kabisa la yule 'dogo' naamini wengi mmenielewa hakika anakuja juu sana kimedani. Si wa kupuuzwa tena! Amewekeza sana kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania TCRA/Idara ya Habari Maelezo zichukue hatua dhidi ya vyombo vya habari vilivyorusha maneno ya uchochezi ya Mwingira

    Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
  6. JamiiForums Tanzania TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    1. TAWAQAL EXPRESS Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea. Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI. Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalam wa vyombo vya moto

    Hivi engine Oil, Diezel/Petrol ukiachilia mbali milage, Ina Expiry date?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna vyombo Tanzania vinavyotetea haki za vibarua (deiwaka) ambao hawana mkataba?

    Habarini wakuu, Naombeni msaada kujibiwa swali hili Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali. Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za wanaoshikiliwa ktk mahabusu mbalimbali, kwa tuhuma za Ugaidi, wazungumza na vyombo vya habari.

    ..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
  11. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kuvifungulia vyombo vyote vya habari

    Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne, Desemba 7, 2021 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju wakati...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri vyombo vya sheria visimfunge jela huyu mama Veronica

    Atafutiwe kazi laini za kufanya zitakazompa riziki, labda akifungwa sana, afungwe miezi miwili, akitoka jela apewe kazi Hii ni Manslaughter case na Attempted suicide, lakini kwa kesi hii daah, scenario inasikitisha sana, kwa watu tuliowahi pitia umaskini na kushinda njaa plus michongo yote...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  15. JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Addis Ababa kupinga propaganda za vyombo vya habari vya magharibi

    Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari kupambana na vikosi vya Tigray kama wataitaitajika kufanya hivyo kulitetea taifa hilo.
  16. JamiiForums Tanzania Ni mahali gani Dar nitapata Vyombo vya Kupikia kwa bei nafuu

    Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo. NB: Bei ya kawaida
  17. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ikitoa taarifa zetu kwa vyombo vya ulinzi huwa wanapata idhini ya Mahakama?

    Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini. Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao. Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vyombo vya majini?

    Msaada kwa wataalamu wa vyombo vya majini; FIRE BARGE ndio nn, na bei zake zikoje?na Identification barge with name and check number inauzwaje pia?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru

    Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru Na. Paschal Dotto-MAELEZO Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na kufanya kazi na vyombo vya habari katika kutangaza mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

    Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga. Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba: Wengi wanapoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…