vyombo vya habari

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

    Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni. Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana...
  2. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Taarifa Potoshi ni chanzo cha maamuzi mabovu. Je, ni upi wajibu wa vyombo vya habari katika kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi?

    Vyombo vya habari vina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi na kwa wakati ili kuchochea maamuzi sahihi sambamba na uwajibikaji. Wajibu huo unaweza kufanikishwa kwa kupambana na kuzuia taarifa potoshi zinazosambazwa ndani na nje ya mtandao. Salome Kitomari mhariri wa gazeti la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari. Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  5. blogger

    JamiiForums Tanzania Kuna Vitu katika Nchi hii vinapotoshwa sana. Ni vile tu media ya Tanzania zimekosa watu wenye uweledi

    Kuna taarifa hapa nimeiona TBC... kama wanavyoiita wAo Aridhio. Kuna dogo anagombea nafasi ya CWT. Yani sielewi, wamemkuta wapi!? Wamemhoji nini!? Wanataka nini kwake !? Ili iwe nini!? Lakini ili habari ikamate maji.. atleast angetoa number zaake ili wadau tumuhoji... TBC Mjihakiki...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  8. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kuwekewa ngumu kufatilia uchaguzi Burundi

    Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi. Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, Unaweza Kurekebisha Taifa Kama Watu Wengi Ni Wapumbavu? : Tahadhari kwa Tanzania

    “Ikiwa huwezi kusoma vizuri, kufikiri kwa mantiki, au kuelewa habari unazozipata — basi wewe si sehemu ya suluhisho, bali ni mzigo wa taifa.” Ni wakati wa kusema ukweli bila kificho: Ujinga sio tatizo dogo tena — ni janga la kitaifa. Ukiangalia hali ya Marekani, ambayo kwa miongo mingi imekuwa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Bahasha za Khaki zinavyodhalilisha vyombo vya habari vya Tanzania

    Yaani vyombo Tofauti vimeelekezwa kuandika vile ambavyo mlipaji anataka. Poor Tanzania!
  11. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasema kesi ya Tundu Lissu, Juni 2, 2025 itakuwa 'Live'

    Kwa mujibu wa mahakama wenyewe watarusha matangazo ya moja Kwa moja kutoka mahakamani. Kwa mara ya Kwanza tutashudia matangazo hayo ya mahakama ikiwa kweli Wanafanya hivyo
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba walikubali pressure iliyotolewa na vyombo vya habari kuwapumzisha baadhi ya wachezaji kisa wamechoka kilichowakuta ndo hiki Cha 3: 1

    1). Kama Kawa akili za kuambiwa changanya na zakwako yaani wachambuzi wa bongo ni hatari Sanaa! 2). Simba baada ya kukosa kombe la Caf, morali ya timu imeshuka! 3). Hapo ndipo wachambuzi wakaingia kwa miguu yote miwili kuwa Simba inakikosi kipana! Wakasikilizwa, kumbe wanaoongea wanatamani Simba...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imesomba vijana mitaani kwenye vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia aibu

    CCM imesomba vijana mitaani na kuwaweka mbele ya vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia haibu sijui ulaya na dunia itakapoona itakuwaje ? Nina asilimia kubwa kuwa hawa vijana wamekusanywa na kusombwa tu mitaani na kulishwa maneno na mtu kisha kuja mbele ya vyombo vya habari...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unafiki wa media za Bongo kuhusu Gwajima, zimejikita kwa Jerry utafikiri hawakuona ya Gwajima

    Baada ya Gwajima kuwapiga za chembe, hakuna media yoyote ukiacha "THE CHANZO" walioripoti Ile issue but baada ya empty headed baboons kuanza kujibu, naona kila media imeripoti "majibu" kwa Gwajima. Swali, media zinaripoti "majibu" based on Which story?? KAZI ipo
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hatuna vyombo vya habari Tanzania, Wala waandishi wa habari kama zamani, waandishi walikuwa wanatafuta hard news akiitoa nchi inaweweseka!

    Zama zinabadilika kwa kasi. Enzi zetu tulikuwa tunalala na magazeti kichwani yaliyojaa makala za kibabe, nzito na zenye maslahi kwa taifa! Umewahi kusoma makala alizokuwa anaandika Mabere Marando kila wiki kwenye gazeti la Mwanahalisi na Mawio? Umewahi kusoma makala za ndugu Samsoni Mwigamba na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima ulitafakari mara 100 kabla ya kuitisha mkutano na Vyombo vya Habari

    Mh Ghwajima nakupongeza kwa kujilipuwa na kusema mambo mazito na magumu ila kwa sisi wana wakuona yasio onekana kile kikao uwenda kikakutoa kamasi kama sio kupanda pipa nakutafuta makazi. Haya ndio hukuyatafakari. Kwa kile kikao umewafungua macho wanakusadikika nani ako nyuma ya haya mambo...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kuitisha Vyombo Vya Habari Kwaajili ya Kusema Tu Kuwa Unahama Chama, Ni Ujinga. Kwani Ulipokuwa Unajiunga Ulimtangazia Nani?

    Kuna ujinga unaea kwa kasi, eti mtu anaitisha vyombo vya habari kuwaambia wananchi kuwa anahama chama! Hivi wewe kuhama chama, kuna nini cha ajabu? Ulipokuwa unajiunga na hicho chama, uliitisha vyombo vya habari? Jamii yetu imejaa watu wajinga. Fikiria mtu ambaye hata jina lake likitajwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV ashukuru vyombo vya habari kwa huduma ya uinjilishaji

    Katika hotuba yake ya kwanza kwa vyombo vya habari vya kimataifa Jumatatu, Papa Leo XIV aliwashukuru waandishi wa habari kwa huduma yao kwa ukweli na kwa kuwasiliana amani katika nyakati ngumu. "Tunaishi katika nyakati ambazo zote ni ngumu kuzunguka na kuelezea. Wanatoa changamoto kwa sisi...
Back
Top Bottom