vyama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

    WanaJF duniani kote,Wasalaam! Ni asubuhi tulivu kabisa katika jiji la Dar es Salaam huku habari kubwa inayovuma ikiwa ni mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA chenye wanachama milioni 6 na nusu wenye kadi. Kama ripota wa JF nipo hapa Mlimani City nimekesha kwa lengo moja tu la...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwakosoa vyama vya Upinzani unageuka kuwa adui wao na ukiwasifia unakuwa rafiki yao?

    Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini? Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari...
  4. JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya Siasa hawa umri unawaruhusu?

    Nadhani kwa vile wahusika ni makada wenzio huwezi toa neno bali utasubiri mpaka upande wa pili nao ufanye hivyo kama ilivyokuwa kwenye makamanda
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  7. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya vyama vya upinzani nchini vingi kama sio vyote inatia shaka na ukakasi

    Demokrasia ya vyama vyetu vya upinzani hapa kwetu inatia mashaka sana maana vyote vimekuwa vinahubiri yale wasiotenda wala kuyafanya katika vyama vyao. Vingine tena vimekuwa sio tena vyama vya upinzani bali vyama vya kiharakati maana wameshindwa kutofautisha ule mstari unawagawa kati yao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sifa za CCM pekee ambazo vyama vingine hazina

    CCM ni tofauti sana na nyama vingine vya siasa nchini ambavyo vina usajili kamili na wa kudumu chini ya sheria ya vyama. Sifa pekee za CCM zinjidhihirisha wazi wazi katika masuala mazito ya kitaifa yafuatayo:- CCM ni chama pekee chenye azma ya kuhahakikisha kwamba Muungano wa Tanzania na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameishinda kauli ya kusema "vyama vya upinzani ni vyama vya msimu"

    Tangu mfumo wa vyama vingi uanze hapa nchini,tumekuwa na vyama kadhaa ambavyo kwa nyakati tofauti vilikuwa ni vyama vikuu vya upinzani(vyama vyenye nguvu) kama vile NCCR-MAGEUZI chini ya Lyatonga Mrema na baadae CUF chini ya Prof.Lipumba. Historia inaonyesha kuporomoka kwa vyama hivi, ni...
  10. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
  11. JamiiForums Tanzania Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

    Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya! Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu! VIVA TUNDU! Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
  12. JamiiForums Tanzania Dk Bashiru: Vyama vya upinzani vitakufa kimoja baada ya kingine

    Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi. Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kutokana na makosa

    Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa. Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Vyama vya Upinzani kushindwa kutoka Madarakani sababu ni kazi nzuri au kuna jambo la Binafsi?

    Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa, Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe! Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza 1. Je, Chadema hawana mtu wa kuvaa viatu vyake? 2. Kafanya kazi kubwa sana kiasi kwamba ni fadhila kwa kazi alofanya? 3...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama pekee Tanzania chenye kutoa fursa sawa kwa wote kuchaguliwa nafasi za uongozi, vyama vingine ni ubabaishaji tu unafanyika

    Wakati CHADEMA ikiwa inajiandaa kufanya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama chao, wametoa orodha ya wagombea uenyekiti kanda mbalimbali za kichama. Orodha hiyo imenishangaza katika mambo mawili: la kwanza, orodha ya wagombea wote wa kanda zote 10 ni waheshimiwa kwa maana ya kwamba wana nafasi...
  16. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuna mijadala/debate za wazi?

    Tanzania tumekuwa nchi ambayo mijadala ya kimaendeleo inafanyika kwenye mitandao tu. Je tunaogopa nini? Hii mijadala sio ya kisiasa pekee inawezekana mijadala ya mfumo bora wa elimu ya sekondari kwa kizazi hiki, mijadala ya sheria bora na ardhi yetu, mijadala ya ajira. Uzuri wa demokrasia ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu. Karibu!
  19. JamiiForums Tanzania Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar. Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu. Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…